sixgates atakuwa alitaka kuandika upuuzi wake kuhusu uwasilishwaji wa habari..... roho inamuuma sana
Weka picha.
chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema

Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.
umeninukuu vibaya. naomba ntake radhi kwa kunifananisha na CCM.kwa vyote vile wewe utakuwa div 5, Magamba povu linawatoka
wakuu,
nadhani tokea hii operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa chadema kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.
Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale mbunge wa arusha mjini mh. Godbless lema aliposema kwamba "kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".
View attachment 134859umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikituaView attachment 134860
meza kuu kamanda lema akibadilishana mawazo na mohamedi mtoi
View attachment 134861View attachment 134862View attachment 134863View attachment 134864
picha zote kwa hisani ya mtu wa tanganyika .......... Peopleeeeezzzzzzz!!!!!
teh teh teh...eti wasema?...Bila Zitto watu wanajaa mikutanoni? Jibu ni YES... Bila Zitto ukombozi wa kweli unakaribia kupatikana...Kudos CDM ...'Bila Zitto chadema hakuna watu mikutanoni!'
Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.[/QUOTE
]
na wewe ukajibu hivi:
wewe unafikiri kwanini wamemtumia mohamed saidi bukoba na sio maeneo mengine? hiyo inamaanisha nini?
Swali tena,Kwa maana hiyo Said hawezi kwenda maeneo mengine kwa vile hakuna waislamu?? na kama wapo mbona hakwenda hayo maeneo mengine yenye waislamu?
Hivi unasoma na kuelewa unachoulizwa au unajibu bila kusoma kilichoandika? hebu pitia huu uzi uone unachojibu kama kinalingana na ulichoulizwa. Si ajabu ninajibizana na robot maana robot linajibu kutokana na jinsi walivyoliset..
[QUOTE=abakorakamo;8514112]bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu

mambo hapa ni safii.?