M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

si mchezo sixgates kaandika,kafuta,kaandika tena,kafuta!kisa kaandika mambo mazuri kuhusu OPD

sixgates atakuwa alitaka kuandika upuuzi wake kuhusu uwasilishwaji wa habari..... roho inamuuma sana
 
Last edited by a moderator:

kwa vyote vile wewe utakuwa div 5, Magamba povu linawatoka
 

Nyomi linawapa Matumaini CDM kuwa watashinda bt ukweli utajulikana 2015 Mambo yaakuwa Kama Mazingaombwe vile.
Kidumu Chama cha Siasa.
 
Last edited by a moderator:
Sixgates habari imeletwa na Kamanda Mungi na sio Makene,haya andamana kwenda Ufipa kukata rufaa
 

stupidest comment of the decade, tumeshaona simba na yanga wakifanya hivyo, ccm wakifanya hivyo tena mwigulu alimvisha paka bendera ya cadhema, tumeshaona hata washabiki wa siasa wakiweka jeneza la JK huko mikoani

Je simba na yanga zina dini??

to me ni upumbavu wa washabiki wachache wa chama na dr. slaa aliwapinga palepale, which is good but linking that na siasa zote ni ujinga ambao unaweza kukuweka wewe kwenye mizani ya wapumbavu waliopitiliza na wasiokua na ability ya kuchanganua hata scenarios ndogo kanma hizo

you must be a person with very low IQ
 
Vijana hapo manispaa ndo mnatakiwa kuhakikisha siasa za udini na ukabila za ccm zinafika ukomo na kuanza sasa wimbo ni mmoja mchakamchaka mpaka kieleweke

Hili jimbo ni mali ya CDM kuanzia sasa
 
wakuu ni hatari sana helicopter kupita juu ya watu kwa ukaribu ule... i think this has to stop

ushabiki wa siasa pembeni chadema needs to be cautious --- kwani hawana dhamana na mashine, inaweza kuanguka na kuleta madhara mabaya sana kwa watu

the first photo is scary and tells a lot about rubani wa hiyo helicopter
 


  • Wewe na akili yako unashiriki katika vioja badala ya hoja; kweli elimu yetu majanga
 
Muheshimiwa WILLAFRIKA unatakakuniambia dini ya uislam inahalalisha USALITI?. watu kama ZITTO wapo katikaharakati zozote zili wakati afrika kusini wanapigana kupinga ubaguzi wa rangi watu kama ZITTO walikuwepo walipenyezwa na makaburu .ilikuwa ukijulikana tu lazima uuwawe wanasema haunatofauti na panya.ACHA KUTULETEA UDINI HAPA
 

Wewe ni mpuuzi kweli, na unataka kutudhalilisha Waislamu, kwani kwenye jeneza hilo yumo Zito? Je, jeneza limefunikwa kwa sanda ya dini ya Kiislamu? Je, Zito alitumwa na sisi Waislam kufanya usaliti? Je, usaliti wa Zito unatunufaisha nini sisi Waislam mpaka tuingie kwenye malumbano na Wakristo?
 
Wakuu fungueni BUKOBAWADAU hapa kuna picha nzuri bila chenga sijawahiona maisha yangu yote tokea naishi hapa Bukoba!
 
Ikibidi wa Tanzania tutachangia hii operatio isikome Mpaka 2015
 
Kabisa sina matumaini na CHADEMA.
Huu ni upepo utapita tu. Pengine sana sana ni njia tu ya wajanja wachache katika timu ya uongozi wa CDM waliobuni huu mradi ili wapate namna ya kujilia hela ya ruzuku nyuma ya pazia.
 
ukombozi umefika hakuna wakupinga wakoloni weusi wote matumbo joto wakiongozwa na kinana na nape
 

Tulia gamba tukuvue sie ha ha ha pipooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…