M4C ndani ya Ndanda ~ Masasi

M4C ndani ya Ndanda ~ Masasi

Ninapozisomahabari za M4C ikipasua anga huko Mtwara Lindi na viunga vyake naona taswira ya CCM wakiwa mahakamani wakiupinga ushindi wa CDM wa ngazi ya Urais,pembeni namuona mh Tindu Lisu akiwasmbaratisha kwa hoja nzito zenye mashiko,wenye CCM kwaheri kwaheri tunawatakia maisha ya taabu huko muendako

Tunasikitika kuagana na CCM,byebye CCM,kwa heri Magamba.
 
big up kwa team ya ushindi Mungu atawalinda kwa ajili ya watanzania
Aksante Ben moto wanaowasha unasambaa kama kawa,jamaa Lema alikuwa na yule Bodyguard wa Mbowe,ilikuwa safi Lema ni mtu wa watu usipime,anavyoonekana huwezi kujua kwamba ndiye anayeitesa nyinyiem pale Arusha m4c.
 
pole sana kwa uelewa wako mdogo ,symbolic language,ni lugha ya picha.

Mkuu wangu Ukana Shilungo,
Hata kama umekuja juu mithili ya moto wa kifuu, lakini ushauri aliokupa Mkeshaji ni wa busara sana....it's even much better if u count on his/her advice. Kwa issue kama hii ya CHADEMA si busara kutumia neno "Inamwaga Sumu!" Ngoja nikupe darsa la lugha kidogo....ni kweli kabisa kwamba Mkeshaji hayupo sahihi kama tutazingatia suala la matumizi ya lugha; si sahihi kudai kwamba sumu inaua hata kama ndo kazi yake! Lakini ktk matumizi hayo hayo ya lugha ya picha, nawe haupo sahihi vile vile! Matumizi sahihi ya lugha ya picha ktk suala zima la kumwaga sumu ni sawa na kusambaza fitina na/ama chuki kwa maana halisi ya chuki...jambo ambalo sizani kama ndilo linalofanywa na CHADEMA huko kusini. Mathalani, CHADEMA kinatuhumiwa kwamba ni chama cha wakristo na Ndanda pamoja na Masasi ni maeneo ambayo yana wakristo wengi kwa mikoa ya kusini. Hivyo basi, penye upinzani na suala zima la propaganda, suala la CHADEMA kumwaga sumu maeneo hayo mwingine anaweza kuhusisha (say) kwamba labda Lema alikuwa anawaambia wakazi wa huko kwamba CCM si chama kinachojali wakristo kwa vile ni chama cha waislamu...!! Hizo ndizo sumu zenyewe!! Mtu akikuelewa hivyo, usije ukamlaumu!! Na kama ni kusema kwamba CCM ndio inayowafanya wawe maskini au ni mafisadi, katu hiyo huwezi kuita kusambaza sumu kwavile hakuna Mtanzania asiyelijua hilo. Ni ushauri tu!
 
Tunashukuru kwa taarifa.

Kwa faida ya wengine:
Tuache kutumia neno :"CHADEMA wamwaga sumu".

Wanachokifanya chadema si kumwaga sumu bali kutoa elimu ya uraia/kuwaeleza ukweli watanzania juu ya dhulma inayofanywa na chichiemu. Hiyo si sumu, bali ni mwangaza wa matumaini.

Sumu kazi yake ni kuua. Elimu itolewayo na CHADEMA haiui bali inarudisha matumaini yaliyopotea.

Kwa hiyo kama ni sumu chichiemu ndio inayomwaga sumu kwa wananchi wake kwa minajili ya kuwaua na CHADEMA inachofanya ni kuiondoa sumu hiyo ili kuwarudishia wananchi uhai wao ambayo ni haki yao stahiki.

Nakubaliana na wewe mkubwa. Chechemee ndo wamwaga sumu!! Kazi ya CDM ni kuwanywesha "maziwa" waathirika wa sumu hiyo!! Yamkini wapate kupona.
 
Waliodhani wamemmaliza Kamanda Lema wanajuta sasa, Endelea kuvuna wanachama Lema Mpaka Kieleweke. M4C
 
Mkuu wangu Ukana Shilungo,
Hata kama umekuja juu mithili ya moto wa kifuu, lakini ushauri aliokupa Mkeshaji ni wa busara sana....it's even much better if u count on his/her advice. Kwa issue kama hii ya CHADEMA si busara kutumia neno "Inamwaga Sumu!" Ngoja nikupe darsa la lugha kidogo....ni kweli kabisa kwamba Mkeshaji hayupo sahihi kama tutazingatia suala la matumizi ya lugha; si sahihi kudai kwamba sumu inaua hata kama ndo kazi yake! Lakini ktk matumizi hayo hayo ya lugha ya picha, nawe haupo sahihi vile vile! Matumizi sahihi ya lugha ya picha ktk suala zima la kumwaga sumu ni sawa na kusambaza fitina na/ama chuki kwa maana halisi ya chuki...jambo ambalo sizani kama ndilo linalofanywa na CHADEMA huko kusini. Mathalani, CHADEMA kinatuhumiwa kwamba ni chama cha wakristo na Ndanda pamoja na Masasi ni maeneo ambayo yana wakristo wengi kwa mikoa ya kusini. Hivyo basi, penye upinzani na suala zima la propaganda, suala la CHADEMA kumwaga sumu maeneo hayo mwingine anaweza kuhusisha (say) kwamba labda Lema alikuwa anawaambia wakazi wa huko kwamba CCM si chama kinachojali wakristo kwa vile ni chama cha waislamu...!! Hizo ndizo sumu zenyewe!! Mtu akikuelewa hivyo, usije ukamlaumu!! Na kama ni kusema kwamba CCM ndio inayowafanya wawe maskini au ni mafisadi, katu hiyo huwezi kuita kusambaza sumu kwavile hakuna Mtanzania asiyelijua hilo. Ni ushauri tu!
hmna jipya,jf ni ni home of great thinkers,narudia hapo kuna tatizo moja kwenu,issue nzima ya language use,pamoja na semantic,ndio kitu kinachokusumbua ndugu yangu pamoja na mkeshaji,jikumbushe kidogo kuhusu conceptual meaning na contextual meaning,utaelewa,umepata tu ambiguity,so you have to undestand source of ambiguity,kama huelewi basi niseme usichukulie kitu kama kilivyo,syombols katika lugha kifupi tu is something stand for something,sumu ni neno nililotumia kuonesha ni elimu mpya ya ukombozi,inayobomoa fikra na mitazamo potofu ambayo watu wa kusini wamenyweshwa na chama magamba kwa mda mrefu mno.kifupi naona ni kama gamba at work,hata ukiangalia content yake utaona si sumu kama mnavyofikiri nyie.Nawasilisha UKANA SHILUNGO.
 
Nakubaliana na wewe mkubwa. Chechemee ndo wamwaga sumu!! Kazi ya CDM ni kuwanywesha "maziwa" waathirika wa sumu hiyo!! Yamkini wapate kupona.
ukijua maana Individuality,the way some one express by herself/himself miht be different to each other,so ndo kusema unanifundisha kuteua maneno kma utakavyo hiyo haipo Im very humble to ackknowledge lakini hapa nipo sawa nilichotumia ni Lugha ya Picha narudia,ukielewa maana yake imekwisha,basi kama huelewi hutaweza kamwe kusoma ukaelewa fasihi yoyote yaani riwaya,tamthilia,wala ushairi,na wala kwa gazeti la Raia mwema huwezi kumsoma Richard mabala,maana humo zinatumika sana taswiara nzito hivyo basi kama umeelewa vibaya neno sumu nakupa pole anza tena kujikumbusha hasa literature au fasihi kwa kiswahili,aksante kwa ushauri nauheshimu.
 
hmna jipya,jf ni ni home of great thinkers,narudia hapo kuna tatizo moja kwenu,issue nzima ya language use,pamoja na semantic,ndio kitu kinachokusumbua ndugu yangu pamoja na mkeshaji,jikumbushe kidogo kuhusu conceptual meaning na contextual meaning,utaelewa,umepata tu ambiguity,so you have to undestand source of ambiguity,kama huelewi basi niseme usichukulie kitu kama kilivyo,syombols katika lugha kifupi tu is something stand for something,sumu ni neno nililotumia kuonesha ni elimu mpya ya ukombozi,inayobomoa fikra na mitazamo potofu ambayo watu wa kusini wamenyweshwa na chama magamba kwa mda mrefu mno.kifupi naona ni kama gamba at work,hata ukiangalia content yake utaona si sumu kama mnavyofikiri nyie.Nawasilisha UKANA SHILUNGO.

Ukisikia ambiguity ndiyo hiyo hapo kwenye RED inayofuatiwa na BLUE. Sina haja ya kusema mengi kwa kuchelea mada husika kuitoa toka kwenye mwelekeo uliokusudia!!!
 
kama ulishatambua basi nadhani ulielewa ndio maana ya kwenda shule,unahangaishwa na minor issue kiasi kwamba unatajka kutoa nje ya mstari mada kwa ajili ya kijineno sumu,you have to know that this is not accademic writing,ungekuwa mhadhiri ungekuwa una bias mno.over and out.
 
Kweli Chadema hawafanyi makosa! Nilimcheki kamanda akihitimisha baraza la M4C jana huko Ndanda pale alipowakumbusha kuwa CCM ni marehemu na wawe makini kung'amua hilo. Niliachwa hoi na art aliyotumia na kuwaacha hoi halaiki iliyokuwa inamsikiliza. Kwa maneno yake mwenyewe alisema:

"Kupe; si mnamjua kupe? Kupe akishamndandia ng'ombe yeye basi keshamaliza safari. Ng'ombe anapelekwa gulioni kupe yupo; ng'ombe anauzwa kupe yupo; ng'ombe anachinjwa kupe yupo tu; ng'ombe anachunwa ngozi kupe yupo tu; ngozi ikianza kuchomwa ndo kupe anazinduka, 'alaa, huyu jamaa kumbe kachinjwa!'

Waosha magamba mpooo?
 
Dah wanadamu wanamisemo! hii kali
 
Hata mimi niliiona hiyo. Jamaa aliniipress sana. Afu umati ulikuwa nyomi mbaya. Makamanda naona wamejipanga sana safari yao ya kusini. nilisoma hapa JF hii ratiba ya Dr. wa ukweli, A.K.A. Prof. Slaa:

Katibu mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CDM ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.

Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na kubanwa na muda.

Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku nyingine ya mapambano.

Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa yote ya eneo husika.

Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na Dr Slaa katika opere

Nahisi hii ndiyo ratiba ya makamanda wote huko kusini.
 
I love this! I really do! God bless our true leaders!
 
Mlitika= Mtikila , umechakachua tu kiaina lakini bila kuongeza wala kupunguza herufi jina lako ni mtikila
 
Back
Top Bottom