:majani7::majani7::majani7:CCM puresha inapanda inashuka!!:majani7::majani7::majani7:
Nimefurahi sana kuona hii, sasa mapambano ndio yanaanza kwa awamu nyingine.
Nawaonea huruma magamba kwa jinsi tutakavyo washughulikia huko site, hakuna rangi wataacha kuiona.
Nawaomba chadema waziwekee namba maalumu ili mwigulu na Nape na Babu yao Jangili wa Tembo wetu wasije wakakodi bodaboda wakawapeleka kwenye matukio ya wizi then waandike maneno CHADEMA kwenye pikipiki zitakazokamatwa kwenye matukio ya ujambazi waseme Chadema majambazi...Maana wameishiwa mbinu kwelikweli
Ajenda kuu kwa M4C kwa sasa iwe ni kuwauzia wananchi undani wa sera kuu ya CHADEMA ya majimbo na jinsi ambavyo itakavyochangia kulinda maslahi ya wananchi wa kawaida katika eneo husika kwa njia shirikishi zaidi bila ya kuporwa vya 'Ku-Mtwara' kuhamishiwa 'Ku-Bagamoyo kivile.
nimefurahi sana.hii ni mbinu moja kali sana ya kisayansi kuitangaza chama mpaka kijijini sehemu ambayo ilikuwa si rahisi M4C Kufika lakini hapo mambo yatakuwa biyeee!!...
Wacha kubadili upepo wewe! tuache tujipongeze na tufurahie maendeleo na mafanikio yetu,
Tena ningependa huu pia uwe mradi, kwamba kama ilivyo kwa tshirt na kofia kuuzwa, vyivyo hivyo na pikipiki hizi ziwe zinauzwa kwa wananchi kwa matumizi ya bodaboda au usafiri tu wa kawaida wa mtu binafsi, hii itasaidia kukiongezea chama mapato.
Na kama hili likikubalika msiache kufungua duka Moshi, Hakya Mungu zitanunuliwa kama njugu.
du hiyo ni noma, nimeipenda sana, kweli CDM ni kiongozi wa yote, Masalia waliokuwa wnapiga kelele kuwa hela zinatumika hovyo aibu yao hiyo, Mwapamba na juliana mlikwii???
du hiyo ni noma, nimeipenda sana, kweli CDM ni kiongozi wa yote, Masalia waliokuwa wnapiga kelele kuwa hela zinatumika hovyo aibu yao hiyo, Mwapamba na juliana mlikwii???
Watatupa sisi,ni heri kuharibu ruzuku kwa kununua vitu vinavyoonekana navyenye kuleta ukombozi kwa faidaya wote kuliko kuficha pesazetu nje,kupeleka twiga wetu nje,kuuwa nakuwang'oa meno tembowetu nakuuza kwa faidayenu wachache na pia kuficha mikataba ya madini tusiione kwa ubinafisi wenu wachache!