Kamanda na sisi wa Da'Slaam tunawahitaji. Hasa huku Temeke kwangu, tunajitahidi ila tunahitaji nguvu ya M4C ifike.
musoma mjini,iringa,arumeru mashariki na rombo
Mkuu Dickson Ng'hily,
Nakuheshimu sana Mkuu wangu lakini si vibaya kurekebishana pale tunapoona mmoja wetu anapotoka maana tunajifunza through mistake. Matamshi ya hapo kwenye Red si mazuri kwani yanaonyesha umiliki wa eneo kinyume na nadharia halisi.
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia wabunge wa CCM wakisema Jimbo langu la Segerea, mara Jimbo langu la Temeke au Jimbo langu la Mvomero nk. Kiuhalisia si vizuri kwani kunaonyesha dalili ya ubinafsi na udikteta. After all mtu mmoja hawezi akamiliki Jimbo kwani kwa kusema hivyo maana yake unamiliki wakazi, ardhi, viwanda na kila kitu kilichomo ndani ya jimbo. Kitu ambacho si kweli!
Tujifunze kusema Jimbo letu la Temeke, Jimbo letu la Ubungo, Jimbo letu la Karatu nk.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - Hull City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Chadema bunge limeisha
sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la
m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko
Mkuu Dickson Ng'hily,
Nakuheshimu sana Mkuu wangu lakini si vibaya kurekebishana pale tunapoona mmoja wetu anapotoka maana tunajifunza through mistake. Matamshi ya hapo kwenye Red si mazuri kwani yanaonyesha umiliki wa eneo kinyume na nadharia halisi.
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia wabunge wa CCM wakisema Jimbo langu la Segerea, mara Jimbo langu la Temeke au Jimbo langu la Mvomero nk. Kiuhalisia si vizuri kwani kunaonyesha dalili ya ubinafsi na udikteta. After all mtu mmoja hawezi akamiliki Jimbo kwani kwa kusema hivyo maana yake unamiliki wakazi, ardhi, viwanda na kila kitu kilichomo ndani ya jimbo. Kitu ambacho si kweli!
Tujifunze kusema Jimbo letu la Temeke, Jimbo letu la Ubungo, Jimbo letu la Karatu nk.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - Hull City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Mkuu Dickson Ng'hily vipi utatupa tena karata ukipata ridhaa ndani ya CDM au muda bado?
Mkuu TUMBIRI, umesomeka japo ma motive was and still is clean, hizo tafsiri ulizotoa kwa kufafanua ni nini nimemaanisha pale nilipotamka Temeke Kwangu haziendani kabisa na motive iliyonisukuma kusema hivyo. Ni jambo moja kusikia mtu akitamka maneno na ni jambo jingine na wakati mwingine ni gumu kutambua motive iliyomsukuma kutamka.
Sidhani kama kusema Temeke kwangu kuna dalili zozote za ubinafsi ama udikteta. Afu penye red hapo. Mimi sikusema jimbo langu, nimesema Temeke Kwangu, si ni mkazi wa Temeke! Kuna kosa gani kupaita Temeke Kwangu! Na hapo penye blue, sijui unamaanisha nini coz ina maana wewe mkuu TUMBIRI ukiwa na kwako ndo kusema unamiliki wakazi, ardhi, viwanda na kila kitu kilichomo ndani ya jimbo! Mkuu hii tafsiri umeitoa wapi! Nway, hata mie nakuheshimu sana na ninadhani kurekebisha katika hili si vibaya ndugu yangu.
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko
Mkuu Kimbunga,ngoja kwanza tujenge Chama kamanda wangu...