M4C: Lema kuunguruma leo..

mkutano ndio umeanza, watu bado sio wengi sana. Hali ya hewa sio nzuri sana, kuna manyunyu ya hapa na pale. Mgeni rasmi lema bado hajafika. Tutaendelea kujuzana.
 
Naona hali mbaya Sinza Makamanda wote wamekimbia thread.
 
Kwa udhaifu wako watu ndio wanamuhitaji lema na ni mtu wa watu,mwaka huu mnalo nenda singida katoe msaada
 

Mkuu, jana ulikuwa Kigoma, ukashuhudia mkutano wa CUF pale.

nami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.

Na leo uko Sinza unashuhudia mkutano wa Chadema hapo!

Pole na kazi za ujenzi wa CUF!
 
Kweli leo hali ngumu Sinza kimenuka hakuna cha Lema wala Heche.
 
Sijakuambia Lema hawezi kuja Dar mie sina uwezo wa kumzua mtu kuja Dar nilichokuwambia Dar wameshindwa kina Mbowe, Slaa, sembuse Lema.

Kweli kabisa kwani hata John na Halima ni wabunge wa nje ya Dar!
 
Mkuu maneno ya Mungu hayana uhusiano na mkutano wa Sinza.

Mkuu mbona ume-dominant hii thread utadhani wewe ndio initiator of this thread. Nadhani uache kudandia hoja. Mimi nipo Sinza na mkutano umeanza na watu wapo wa kutosha kabisa. Tatizo ni udhaifu na kuvurugwa.
 
lema yupo dar kwa kazi ya kuwatoa woga wananchi, kama noma na iwe noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…