M4C Kimanga (Picha moja)

M4C Kimanga (Picha moja)

ccm wanatupa kazi kubwa sana kuwaelimisha wananchi kwa siasa zao chafu.
 
Sahihisho mkuu,huyo diwani niwa kata ya Kimanga mkuu....nashikuru kwa habari tuliwakilisha vyema.

mkuu mimi ni mwana kimanga. namfaham vizuri diwani wangu. alikuwa amevaa magwanda, sketi na blauzi. huyo wa kipawa nayekuambia alikuwa amepigia magwanda meusi, sketi na blauzi. na muda wao wa kusalimia wananchi ulipowadia, alijitambulisha diwani wa segerea (niliyempigia kura akashinda), na baadaye akasimama yule mama wa kipawa akachana laivu, yule wa kimanga hakutoa neno, alikaa tu, kwa kuwa muda wa kufunga mkutano kisheria, saa 12 jioni ulikuwa umewadia.

upooooooooooz?
 
Hivi wewe hunapajua Tabata Kimanga? Kwanza hakuna uwanja mkutano umefanyika barabarani na barabara za Kimanga ni nyembamba sana na watu wamejibana hapo lazima uone watu wengi.

wewe ndiyo hupajui kimanga inaonekana ni mgeni sana na kimanga tuulize sisi tuliokuwepo kwenye mkutano tukwambie ulifanyika kwenye uwanja gani hapa kimanga. watu walikuwa nyomi ile mbaya halafu hawakuletwa na magari wakiuja peke yao kma mimi nilikwenda bila kulazimishwa na mtu pole sana kama hujui subilia uone natuma picha
 
Mh! CDM wana maripota kila pembe ya nchi. Iliyobaki ni kuanzisha chuo cha habari tu.
 
Hivi diwani wa kipawa ni chadema?
Duh kweli chadema noumah ndo huyu anafanya harambee ya kuboresha elimu na anapigwa tafu na edo?
 
Hivi wewe hunapajua Tabata Kimanga? Kwanza hakuna uwanja mkutano umefanyika barabarani na barabara za Kimanga ni nyembamba sana na watu wamejibana hapo lazima uone watu wengi.

mkuu nahisi xaxa unachanganya. ilikuwa kimanga-mwisho, cyo mawenzi. cku nyingne ukija kata ye2 ya kimanga usiishie mawenzi.
 
mkuu mimi ni mwana kimanga. namfaham vizuri diwani wangu. alikuwa amevaa magwanda, sketi na blauzi. huyo wa kipawa nayekuambia alikuwa amepigia magwanda meusi, sketi na blauzi. na muda wao wa kusalimia wananchi ulipowadia, alijitambulisha diwani wa segerea (niliyempigia kura akashinda), na baadaye akasimama yule mama wa kipawa akachana laivu, yule wa kimanga hakutoa neno, alikaa tu, kwa kuwa muda wa kufunga mkutano kisheria, saa 12 jioni ulikuwa umewadia.

upooooooooooz?
Kwa ufafanuzi tu. Mimi ni mjumbe wa kamati ya utendaji jimbo la segerea. Ni kweli aliyeongea mwishoni, ni Mama Shelukindo ambaye ni diwani viti maalumu, ila ni mkazi wa kipawa kwa hiyo alizunngumzia kazi fulani aliyoifanya kipawa. Narudia yeye ni viti maalumu kwa hiyo hana kata.

Ila kwa Jimbo la Segerea madiwani wa CHADEMA ni Mama Hellen Lyatura wa kata ya Kimanga, yeye aliongea mwanzoni, pamoja na Bw. Mwambagi ambaye ni diwani wa kata ya segerea.

Pamoja na kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji jimbo la segerea mimi pia ni mhamasishaji vijana kata ya kimanga, na mkutano huo sisi ndio tuliuratibu. Naaamin ufafanuzi huu utasaidia.

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
 
mkuu mimi ni mwana kimanga. namfaham vizuri diwani wangu. alikuwa amevaa magwanda, sketi na blauzi. huyo wa kipawa nayekuambia alikuwa amepigia magwanda meusi, sketi na blauzi. na muda wao wa kusalimia wananchi ulipowadia, alijitambulisha diwani wa segerea (niliyempigia kura akashinda), na baadaye akasimama yule mama wa kipawa akachana laivu, yule wa kimanga hakutoa neno, alikaa tu, kwa kuwa muda wa kufunga mkutano kisheria, saa 12 jioni ulikuwa umewadia.

upooooooooooz?
Sawa mkuu tupo pamoja pia kwa ufafanuzi mzuri check comment ya Andendekyise ameiweka kwa uzuri zaidi....Aluta continue!!!
 
Pamoja kamanda tuendelee na mapambano tuijenge kata yetu mimi pia ni mjumbe mwaminifu na askari wa mstari wa mbele....Aluta continue!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom