M4C leo ipo kijiji cha Nambawala kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, tunafungua tawi katika kijiji hicho.Watu karibu 200 wamejiunga na CHADEMA sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii, sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa.
Kwa kweli sasa Masasi imeanza kubadlika,hadi sasa wanachama 20 wamerudisha kadi na wengine wanaendelea kurudisha.Safu ya uongozi nitatuma jioni makao makuu kwa njia ya mtandao.
Kwa kweli sasa Masasi imeanza kubadlika,hadi sasa wanachama 20 wamerudisha kadi na wengine wanaendelea kurudisha.Safu ya uongozi nitatuma jioni makao makuu kwa njia ya mtandao.