Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.
mbona lushoto tayari au unataka wilaya gani...
Please we need to move with speed and efficiency CDM for Tanga faster!!!!! Si mnakumbuka Tanga ilikuwa ngome ya NCCR enzi za mtu mmoja alikuwa anaitwa Kimaro, CDM move to Tanga hakuna visingizio!!!!tulia kijana hata roma haikujengwa kwa siku moja.
mbona lushoto tayari au unataka wilaya gani...
Tanga Hakuingiliki, haswa na CDM, wao wanakiona hiki ni chama cha wachaga, kwani huoni ule mkoa, una utajiri wa ajbu, lakini hakuna maendeleo hata kidogo. Ndugu zetu Wadigo na wabondei wamelala sana yao ni baraza na porojo tuu,
Zama hizi inawezekana. Zama zile teknolojia ilikuwa bado duni. Liwezekanalo leo lisingoje kesho.tulia kijana hata roma haikujengwa kwa siku moja.