ukweli kila siku uwa inauma.kuchelewa kwa maendeleo ya kidemocratia tz.sabuzake ni ukosefu ya umakini ya ya tz media.wapo lakini kama awapo.tatizo sio elimu ila ni uwoga and confusion.they do suport katiba mpya.and what for M4C?TZ MEDIA PPLS WAK UP
Tunaomba CHADEMA MAKAO makuu waanzishe Programu tuchangie uanzishwaji wa Radio na TV yetu wenyewe ili tuwe tunasikiliza sera na hotuba za viongozi wetu makini majukwaaaani na Bungeni. Tutashukuru sana maana MAGAMBA wanatake advantage ya CHADEMA kukosa Media zake wenyewe kuchakachua taarifa na ikumbukwe kwamba wanapotosha sera ya majimbo kuwa ni kuigawa nchi kwa misingi ya Kikabila na Maeneo. Naamini wote mnasikiliza namna gani wanavyo potosha swala la gesi ya Mtwara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.