Mbona husemi tabata gani mkuu nilihudhuria mkutano wa tabata shule watu walikuwa wengi sana yawezekana kwa sababu zako binafsi uliamua kupiga picha mapema sana kabla ya mkutano ili uje hapa jamvini kutupotosha ole wako wewe upotoshaye leo kwan 2015 utalia na kusaga meno
Toa uchafu wako hapa.
stupid ,hiyo ni Kigogo na hapo ilikuwa m4c bado haijazinduliwa.......ilikuwa ni kile kipindi baada ya mafuriko,na watu walijaa sana.wewe hizo picha ulipiga mapema sana wakati wananchi ndiyo wanaanza kuingia.m4u inawakosesha usingizi eeeeeh?
umepiga picha nusu nusu,ebu angalia vimvuli,nyuma ya hao watu unaowaona kuna vimvuli,ungewapiga picha na hao
asante mkuu!
Nyomi la kufa mtu hakuna kulala mpaka kieleweke.
hii umeikata,ile picha ya mwanzo ndo kuna vimvuliNifafanulie kwa huyo jamaa mwenye T shirt ya njano aliesimama,picha inakuumbua hiyo,huyai edit vizuri,huo mkono wa kushoto umepotelea wapi? au jamaa ana kipande cha mkono? kwa physics ya form one tu unatambua makosa hapo,KAJIPANGE uje tena Jeykey