M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

Mbona husemi tabata gani mkuu nilihudhuria mkutano wa tabata shule watu walikuwa wengi sana yawezekana kwa sababu zako binafsi uliamua kupiga picha mapema sana kabla ya mkutano ili uje hapa jamvini kutupotosha ole wako wewe upotoshaye leo kwan 2015 utalia na kusaga meno

mapema sana? lema si ndo anahutubia hapo mgeni rasmi? labda sema watu wamechoka nae
 
Mbona husemi tabata gani mkuu nilihudhuria mkutano wa tabata shule watu walikuwa wengi sana yawezekana kwa sababu zako binafsi uliamua kupiga picha mapema sana kabla ya mkutano ili uje hapa jamvini kutupotosha ole wako wewe upotoshaye leo kwan 2015 utalia na kusaga meno

Umeona eeh??mbinu za magamba ni za kiswahili-swahili tuuuuuu...
 
we dhaifu umevizia wakati watu wanaingia kwenye mkutano halafu unapiga picha unaleta huku,mwaka huu kazi mnayo.
 
Kwani Lema anahutubia nini kwenye hiyo mikutano kila siku?

Anasema anataka kuwakomboa Wananchi wakimuliza unatukomboa kivipi anasema hakuna kulala mpaka kieleweke wao wana pesa siye tuna mungu, kwa kweli aeleweki.
 
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji
Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje
chama hakikubaliki Dar es salaam

Hebu angalia hizo picha za Lema akiwa Tabata akihutubia watu

PICT0605.JPG

Nyomi la kufa mtu hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Mbona hao waliopko kivulini hujawaonyesha?
 
mwaka huu mpaka kieleweke tunaanza na mungu tunamaliza mungu!
 
kwahyo unataka kujiaminisha kwamba cdm ndo kimeshuka umaarufu?hlo sahau
 
Picha imechukuliwa mapema kabla umati haujatinga. Magamba mnashida sn
 
Mwenye macho hambiwi Tazama!Naukiona mtu anajikuna ujuwe anawashwa!Nadhani alianzisha hii thread ameelewa?

ameanzisha thread ili akunwe wakamwambie nape afanye mkutano kama kama awajajaa watoto wa chekechea na vichaa ambao hata haki ya kupiga kura hawana
 
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji
Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje
chama hakikubaliki Dar es salaam

Hebu angalia hizo picha za Lema akiwa Tabata akihutubia watu

PICT0605.JPG

Aibu tupu, hii inathibitisha kuwa wamekuwa wakisomba watu na sasa hela za kuwasomba hao watu zimekata kwa hiyo ni kwenda kichwakichwa ili angalau kuambulia posho a.k.a ruzuku. Gazeti la Mwananchi hawawezi kutoa picha kama hizi zinazoonyesha udhaifu wa chama wanachokiunga mkono kama ilivyo gazeti la Tanzania Daima. haaa ahaaaa! Naona watu wamebaini uhuni wa hiki chama.
 
Huyo Arusha yamemshinda anakurupuka Dar.?
 
Back
Top Bottom