Arusha Mambo
Senior Member
- Jan 27, 2011
- 174
- 150
Nani mgeni rasmi, makamanda gani tunaowajua watakuwepo. Kamanda mtoro Zitto atakuwepo?
TV gani wanaonyesha.
TV zote si zinamilikiwa na Magamba? au unajifanya hujui?
ni vizuri magamba wawabanie Tv zao,maana nyie kuanzisha zenu hamtaki,yaani hata karedio ka fm?TV zote si zinamilikiwa na Magamba? au unajifanya hujui?
Hata ITV?
Wafanya kwa ajili ya nini? Hii M4C inatakiwa isitishwe hadi mambo fulani yatengenezwe.
ni vizuri magamba wawabanie Tv zao,maana nyie kuanzisha zenu hamtaki,yaani hata karedio ka fm?
mambo gani mwanakijiji..je unaimanisha chadema sasa isifanye meeting mpaka jambo hilo liwekwe sawa...
tv gani wanaonyesha.
Kwa kifupi ndo hivyo, hata ITV some time hufanya kazi kwa maelekezo ya Magamba,
Wafanya kwa ajili ya nini? Hii M4C inatakiwa isitishwe hadi mambo fulani yatengenezwe.
Hata ITV?
TV gani wanaonyesha.