M23 yaitisha tena Tanzania

M23 yaitisha tena Tanzania

Una hakika ni wao wameandika? Hyo akaunti inaweza ikawa si yao,,anyway, hata gadafi aliwatisha waliokuwa wanataka kumvamia.wanatapatapa
 
Msitishike M23 ni hodari sana wa propaganda hawana lolote. Hapo wameshajua sadc inamaliza biashara yao lazima wafunge duka.
 
Mikwara mingi! Waambie wasubili tutakutana kwenye fire zone
 
kwanini iwe congo RDC wakati wao wanajiita m23 congo drc?. mia

Mkuu,
Ukitumia RDC kuimaanisha Congo ya Kinshasa...hapo ni kwa mfumo wa Kifaransa.

Na ukitumia DRC kuimaanisha Congo ya Kinshasa...hapo ni lugha kwa mfumo wa Kiingereza. Zote zikimaanisha nchi ya Congo ya Kabila.
 
>Ni lazima wautambue msimamo na uwezo wetu.

>japokuwa wanaweza kuwa ni mataifa yanayönufaika kupitia uasi wa m23 ndani ya Kongo ndio wanaotutisha ili waendelee kunufaika.

>NI LAZIMA TUENDE LAKINI NI LAZIMA TUKAWE MAKINI.
 
Inabidi tuwe makini, haya majamaa yanaweza kutugea kitu inayouma..
 
>Nimeona wakimuandikia mh.Benard Membe vitisho vya kitoto eti
"TUNASUBIRI IYO SCOUT YENU, MBONA MNACHELEWA KUJA?"

>Ni kwanini wawe na hofu kwa jeshi (wao wanaita $out) la Tanzania pekee ikiwa ni nchi nyingi zinapeleka wanajeshi wao?

Tena hata Afrika Kusini waliojuu kiuchumi wanapeleka majeshi Congo.

Kwanini iwe sisi na si wengne?

>au ni kwasababu A.kusini na nchi zingine wameonekana kushindwa kuleta amani kila wanakokwenda tofauti na sisi?

WALA WASITUTISHIE NYAU.
 
Hilo liko wazi, serikali ya mjini kigali.

>Kunaujumbe waliou-tweet kwa mh.Membe wakisema "TZ KAMA MUNATAKA AMANI KWANINI MUSIUNGE MUKONO MAZUNGUMUZO?"

Alafu wakasema "WONGA WENU NDIO UNAOWACELEWESA KUJA"

>Swali la msingi alilolisema mh.Membe bungeni ni kwamba,kwanini wanaiogopa na kuitisha Tz tu ikiwa ni nchi nyingi zinazokwenda kongo?
 
huyu anatoa vitisho ukiangalia tweets zake zote inaonyesha kama ni wa FARDC na sio M23 Kazarama Vianey | LinkedIn
Mkuu usichanganye mambo, huyo uliyecheki profile yake, anaitwa Jean Vianey Marie Kazarama, ndiye msemaji mkuu wa m23, hiyo FARDC ni miongoni tu mwa makundi yaliyounda m23, kwa hivyo vitisho vinatoka march 23 (m23) moja kwa moja na wala sio kwingineko.
 
hizo mikwara tu amna lolote chezea jwtz wewe waulize wanacomoro.
 
famya kweli kawapige hao vibaka tulinde heshima yetu vinginevyo wataona tunawaogopa E]
 
Mimi bado sababu za msingi za kupeleka jeshi letu Kongo sizioni!!
..Kwa manufaa ya nani? Nchi hii kwa sasa ina matatizo lukuki..tunaenda kuatafuta mengine ilhali ya hapa nyumbani hatuyawezi kabisa!
 
>Ni lazima wautambue msimamo na uwezo wetu.

>japokuwa wanaweza kuwa ni mataifa yanayönufaika kupitia uasi wa m23 ndani ya Kongo ndio wanaotutisha ili waendelee kunufaika.

>NI LAZIMA TUENDE LAKINI NI LAZIMA TUKAWE MAKINI.

kwani apa mbona kunamataifa yananufaika kwa mgongo wa majangili ccm ila hatujaomba msaada kuja kuyatoa haya majangili
 
>Nimeona wakimuandikia mh.Benard Membe vitisho vya kitoto eti
"TUNASUBIRI IYO SCOUT YENU, MBONA MNACHELEWA KUJA?"

>Ni kwanini wawe na hofu kwa jeshi (wao wanaita $out) la Tanzania pekee ikiwa ni nchi nyingi zinapeleka wanajeshi wao?

Tena hata Afrika Kusini waliojuu kiuchumi wanapeleka majeshi Congo.

Kwanini iwe sisi na si wengne?

>au ni kwasababu A.kusini na nchi zingine wameonekana kushindwa kuleta amani kila wanakokwenda tofauti na sisi?

WALA WASITUTISHIE NYAU.

sisi tumeleta wapi kwa wale wana familia wa comoro??
 
Back
Top Bottom