Mkuu JokaKuu njoo huku.
Kila siku tunasema kuwa M23 haina madai yoyote halali dhidi ya DRC. Leo Bisimwa anathibitisha madai ya Kagame kuhusu FDLR. Kagame ameshawahi kuingia DRC kuwatafuta FDLR leo Bisimwa anasema naye na M23 wanawatafuta FDLR.
Huu ni ushhidi usio na shaka kwa menye akili kuwa Rwanda ndiyo M23 na M23 ni wing ya RPF.
Bisimwa ameitwa Kampala hana hoja sasa imebaki madai yasiyohusiana na mgogoro.
M23 ni matokeo ya wanajeshi wa Kitusi kunyimwa fursa katika jeshi la DRC. Ndipo walipoaamua March 23 kuunda kundi kupingana na serikali. Kumbuka hawa walikwenda DRC kidogo kidogo kama wakimbizi na wahamiaji haramu. Mwisho wa siku wamekuwa mwiba mkubwa.
Solution ya DRC ni kawatwanga M23hadi mtu wa mwisho halafu PK aonye na UN kuhusu ushiriki wake wa mauji haya.
Ni suala la muda tu PK ipo siku ataelekea the Hague. Akina Bisimwa watakuwa mashahidi. Ntaganda katangulia, Nkunda bado anakunywa mvinyo. This craps need be disciplined.
1. mpaka hapa you are rightAmakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
Mkuu hii inatufundisha sisi tusiojua vizuri swala hili, maana mpaka sasa ukiangalia unaweza kuona tunajua habari za juu juu kuhusu uhutu na utusi. Kitu ambacho kwa maoni yangu naona ni ujinga. Naunga mkono sana mawazo ya PK kuwaita watu wa Rwanda wanyarwandam huu ujinga wa uhutu na utusi unatakiwa kuondolewa.
Lakini kauli ya Bisimwa kidogo inachekesha sana na ni kama kofi kwa PK. Kuna uhusiano gani kati ya FDLR na mapambano ya M23 dhidi ya serikali, na kuna uhusiano gani na suala la wakimbizi? Where did all grievances they had against DRC government go? vanished in thin air?
Mkuu nataka kujua ni kwanini Interhamwe wanawaua watusi? ni kwanini walifanya hivyo Rwanda na wakaenda kufanya hivyo DRC?
Bongolander,kuhusu kauli ya bisimwa haikua kofi kwa kagame,kwani hao ndugu zao walio kimbilia rwanda na burundi walifukuzwa na hao FDLR eti kwasababu ni watusi,ndio maana ili ndugu zao warudi makwao inabidi hao Wanyarwanda FDLR watoke katika maeneo yao na ndugu zao warudi,hapo ndio watatia silaha chini na kuenda kulima na kufuga ng'ombe hawana haja ya kujiunga na jeshi kwani drc wameisha ua askari wa kitusi wengi tu kwa kuwapeleka katika ma unit mengine na kuwaua,nikusema ideology ya kuua watusi ilisha ingia katika wakongomani ndio maana amani haiwezi patikana wakati kuna hao waanzilishi wa mauaji ya kimbali ndani ya congo.
Hawa Wanyarwanda hususani Watutsi mi huwa nashauri kwa Serikali kuwa waondolewe hata kwa mtutu. Wakishazaliana wataomba Kagera au Geita iwe ya kwao. Binadamu hawa hawabebeki kabisa.
Mkuu hali inasikitisha sana. Lakini naona moto ni lazima uwawakie FDLR, maana hawawezi kurudi Rwanda Kagame anawasubiri, na kama Kongo hakukaliki itabidi watue akili. Uzuri ni kuwa hapa Tanzania kuna wakati walijaribu kuleta uhutu na utusi kwenye makambi ya wakimbizi kule ngara waliambiwa mchezo huo hautakiwi.
sio kweli bwana huyo mzee wa kitusi kakuzingua.jMali,swali la kwanini mtusi anachukiwa hata mimi hua najiuliza sipati jibu,lakini nilijaribu kuuliza mzee wakitusi aliniambia kua yote yalianzia wakati waukoloni kwani walitaka kuwatumia kukandamiza waafrika wenzao lakini aliyekua mfalme wakati huo aliwakatalia na wakamua ndio kuwachonganisha na kuanza mauaji,pili watusi huwezi kuwambia fanya hiki au kile bila kuhoji why,sasa kwa wengi ni dharau,ndio maana pk hukorofishana na hao jamaa kilasiku wao hawapendi,hawapendi mambo ya wazungu kuwachezea akili na kuiba mali za nchi,always ukionekana mtu makini lazima wazungu watafanya mbinu yoyote wakuangamize,sasa baada ya kuona kabila anauhusiano na watusi ndipo walimuingilia na kumtishia kumuondoa au ashirikiane nao kuwaondoa watusi ndani ya kongo wanaamini pindi mtusi atatawala congo hawata rudia kuiba mali ya kongo,kuhusu mauaji huo ni mwendelezo wa propaganda za wafaransa kwani wao ndio waasisi wa mauaji ya kimbali rwanda sasa wanahitaji kuiondoa selikali ya kitusi ili waondoe hiyo aibu ya kuitwa genociders.
Acha kupotosha watu wenye akili zao timamu, kawaandikie watusi wenzako ushuzi huuAmakweli kuna watu wasiojua tofauti ya kivu na rwanda,kivu kunaishi wa congo wenye asili ya rwanda na rwanda kuna wanyarwanda koo zote hutu natutsi,na kivu iliitwa congo baada ya kukatwa mipaka na familia za kinyarwanda kujikuta congo na kuitwa wakongoman,sasa baada ya mauaji ya kimbali hao wahutu wa rwanda walikimbilia congo na kuanza kuwaua watusi wa congo ndio wengi kukimbilia rwanda na vijana wao kushika silaha ili kudai haki yao,lakini tatizo serikali ya congo inashirikiana na hao wahutu kuwaua watusi ndio maana M23 inezaliwa na kulinda haki za wanyonge.
Mkuu JokaKuu njoo huku.
Kila siku tunasema kuwa M23 haina madai yoyote halali dhidi ya DRC. Leo Bisimwa anathibitisha madai ya Kagame kuhusu FDLR. Kagame ameshawahi kuingia DRC kuwatafuta FDLR leo Bisimwa anasema naye na M23 wanawatafuta FDLR.
Huu ni ushhidi usio na shaka kwa menye akili kuwa Rwanda ndiyo M23 na M23 ni wing ya RPF.
Bisimwa ameitwa Kampala hana hoja sasa imebaki madai yasiyohusiana na mgogoro.
M23 ni matokeo ya wanajeshi wa Kitusi kunyimwa fursa katika jeshi la DRC. Ndipo walipoaamua March 23 kuunda kundi kupingana na serikali. Kumbuka hawa walikwenda DRC kidogo kidogo kama wakimbizi na wahamiaji haramu. Mwisho wa siku wamekuwa mwiba mkubwa.
Solution ya DRC ni kawatwanga M23hadi mtu wa mwisho halafu PK aonye na UN kuhusu ushiriki wake wa mauji haya.
Ni suala la muda tu PK ipo siku ataelekea the Hague. Akina Bisimwa watakuwa mashahidi. Ntaganda katangulia, Nkunda bado anakunywa mvinyo. This craps need be disciplined.
how does M23 demanded other group to disarm??? wao demand zao zinatakiwa ziwe dhidi ya serikali ya congo na si vikundi vingine!!!
maajabu kweli. tulitegemea kuona vita kati ya m23 na FDLR.maajabu, waasi wa DRC wanataka kikundi cha waasi cha nchi nyingine kivunjwe! haiji akilini hata kidogo!
Haswa jamaa ni wakaidi kweni. Wameamua kuonyesha wazi kuwa DRC wanawawinda Wahutu kwa niaba ya Rwanda. Halafu wanadai na kujiita Wakongo, wakati wanatumikia interest za Rwanda.
Hii ni sawa na uzi uliwekwa hapa JF wiki chache zilizopita ukisema kuwa Rwanda alizuia azimio la UN security council lilokuwa limeletwa na Marekani na Ufaransa kuwaongezea vikwazo viongozi wakuu wa M23.
Pia JWTZ imetaafu kupitia twitter @JW_TZ: "Vita imefika Def Con 003, ni ushindi wa 96%, Hii inatokana na kufanikiwa kukamata mateka 2602 ikiwemo maafisa wa juu wa 4 wa Jeshi la Rwanda"
Mambo yako dhahili sasa.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums