jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Hivi ni kwanini Wakristo wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa WAASI na Waislamu wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa MAGAIDI? hawa ni M23
![]()
![]()
Nalog off
hao wakristo wanadai wanapigania nini na waislamu wanadai wanapigania nini? Hao unaowaita wakristo ukiwauliza watakuambia wanapigania siasa, lakini waulize boko-haram, al-shabab na wengine watakuambia wazi kuwa wanapigania dola ya kiiislamu! (ukalifa) ndio maana waislamu magaidi, wakristo ni waasi.