M23 kazini.

M23 kazini.

Magaidi ni fundamentalism yenye chachu ya kidini au imani Fulani, hawa hawana interest na rasilimali za nchi na wanakuwa hatari dhidi ya dini yeyote ilio kinyume nayo. Waasi ni kundi linalopinga serikali inayongoza nchi kwa interst ya kiuchumi au uchu wa madaraka, kundi hili hawana issue ya kidini ila wakati mwingine huwachukia sana kabila linalongoza nchi. e.g Wahutu vs. Watusi hawakuwa wanapigana kidini. Kuhusu M23 ni historia ndefu ambayop nahitaji siku nzima kukuelimisha mdogo wangu wala Marekani kama nchi haihusiki ila yamkini kuna matajiri wa marekani na nchi zingine za Ulaya wanatoa ufadhili ili kupata rasilimali katika ukanda wa madini.
Nashukuru sana mkubwa kwa majibu yako na kuweza kuniondoa katika lindi la kutokuelewa utofauti ya haya makundi mawili.Ila kama kama utapata wasaa unaweza ukatufungua macho kuhusu huu ungomvi ulioko kule DRC.
Nalog off
 
kweli mimi ni kilaza sasa naomba wewe ujuaye unifahamishe,tukiacha utofauti wa maneno ni nini tofauti ya hayo maneno mawili?
Nalog off

Ndugu yangu washawasha huyo jamaa ndio kilaza kwa sababu ya kukosa hoja na badala yake anakuja na matusi. Nina uhakika hajui maana wala tofauti ya hayo maneno.
Tafsiri ya ugaidi ni kitendo chochote cha kitisho au halisi chenye nia ya mwenye kutenda atimiziwe anayoyataka. Uasi ni pale unapochukua hatua ama ya kijeshi au ya kiraia ili kupinga na hatimaye kutwaa kwa nguvu madaraka ya dola. Kuna mstari mwembamba unaotofautisha maneno haya. Na matumizi yake yatategemea mtumiaji anataka kutimiza agenda gani. Watuareg kwa mfano wanaitwa magaidi kwa sababu wao wanataka kuweka dola ya kiislamu. Lakini hawana tofauti kwa mfano na waasi wa seleka waliompindua Francois Buzize au M23 wa DRC.
Somalia ni mfano mwingine. Kimsingi Somalia hawana mgogoro wa kidini wana mgogoro wa kisiasa ambapo hakuna taasisi imara. Vita vya Somalia basically ni vya kisiasa zaidi kuliko kuvihusisha na dini. Lakini wakati US wanawaona AlShaabab kama magaidi kwa kudai political sovereignty kwenye nchi yao, akina John Garang na Salva Kiir wanaonekana kuwa ni waasi. Context hizi zimejengwa makusudi ili kutimiza malengo ya propaganda dhidi ya watu fulani.
 
kama lengo lako ni kujua utulie ufahamishwe! Sio unauliza huku una majibu yako mfukuno!!. In fact sipendi kuzungumzia sana dini lakini kwa kuwa umeamua kutenganisha wapiganaji hawa kwa mlengo wa dini nitakujibu kwa mujibu wa dini!!

Vikundi vya kigaidi kama, Alshabaab, Al qeada, boko haram, tamir tigers nk mapigano yao hayana formula na hayana malengo ya kupindua na kuchukua uongozi wa nchi na vyote hivi wanapolipua, wanapoua watu utasikia wakishuhudia "Alah akbal au takbirrr!!!" Hapo huhitaji kuwa na digrii kujua ni vikundi vya dini gani?

Waasi!! M23, Banyamulenge, (SWAPO, UNITA, ANC, FRELIMO NA RENAMO enzi ya kupigania uhuru) Hivi vinaitwa vikundi vya waasi kwa sababu lengo lao kuu ni kupigana na Serikali iliyopo madarakani kwa lengo kuchukua DOLA. Ila tofauti kubwa ni kwamba hivi hutasikia BWANA YESU asifiwe au YEHOVA tumaini letu...

Kiufupi, Uislam ni kama umetekwa nyara na hivi vikundi vya kihuni, mbaya zaidi jinsi ya kujinasua ni ndoto ya mchana.... tuendelee kuwaombea tu.
 
Ndugu yangu washawasha huyo jamaa ndio kilaza kwa sababu ya kukosa hoja na badala yake anakuja na matusi. Nina uhakika hajui maana wala tofauti ya hayo maneno.
Tafsiri ya ugaidi ni kitendo chochote cha kitisho au halisi chenye nia ya mwenye kutenda atimiziwe anayoyataka. Uasi ni pale unapochukua hatua ama ya kijeshi au ya kiraia ili kupinga na hatimaye kutwaa kwa nguvu madaraka ya dola. Kuna mstari mwembamba unaotofautisha maneno haya. Na matumizi yake yatategemea mtumiaji anataka kutimiza agenda gani. Watuareg kwa mfano wanaitwa magaidi kwa sababu wao wanataka kuweka dola ya kiislamu. Lakini hawana tofauti kwa mfano na waasi wa seleka waliompindua Francois Buzize au M23 wa DRC.
Somalia ni mfano mwingine. Kimsingi Somalia hawana mgogoro wa kidini wana mgogoro wa kisiasa ambapo hakuna taasisi imara. Vita vya Somalia basically ni vya kisiasa zaidi kuliko kuvihusisha na dini. Lakini wakati US wanawaona AlShaabab kama magaidi kwa kudai political sovereignty kwenye nchi yao, akina John Garang na Salva Kiir wanaonekana kuwa ni waasi. Context hizi zimejengwa makusudi ili kutimiza malengo ya propaganda dhidi ya watu fulani.
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako murua na yenye kufunza,uwe na moyo huo huo wa kutufunza sie tusiojua na Mungu atakulipa.
Nalog off
 
kama lengo lako ni kujua utulie ufahamishwe! Sio unauliza huku una majibu yako mfukuno!!. In fact sipendi kuzungumzia sana dini lakini kwa kuwa umeamua kutenganisha wapiganaji hawa kwa mlengo wa dini nitakujibu kwa mujibu wa dini!!

Vikundi vya kigaidi kama, Alshabaab, Al qeada, boko haram, tamir tigers nk mapigano yao hayana formula na hayana malengo ya kupindua na kuchukua uongozi wa nchi na vyote hivi wanapolipua, wanapoua watu utasikia wakishuhudia
1"Alah akbal au takbirrr!!!" Hapo huhitaji kuwa na digrii kujua ni vikundi vya dini gani?

Waasi!! M23, Banyamulenge, (SWAPO, UNITA, ANC, FRELIMO NA RENAMO enzi ya kupigania uhuru) Hivi vinaitwa vikundi vya waasi kwa sababu lengo lao kuu ni kupigana na Serikali iliyopo madarakani kwa lengo kuchukua DOLA. Ila tofauti kubwa ni kwamba hivi hutasikia
2.BWANA YESU asifiwe au YEHOVA tumaini letu...

Kiufupi, Uislam ni kama umetekwa nyara na hivi vikundi vya kihuni, mbaya zaidi jinsi ya kujinasua ni ndoto ya mchana.... tuendelee kuwaombea tu.
Hapo nilipoweka rangi nyekundu kumbe wote wanamsifu Mungu kwa lugha tofauti,hao wanasema kiarabu na hao wengine wanasema kiswahili.Sasa hivi nchini Msumbiji kuna mapigano kati ya Renamo na Frelimo lakini sijawahi kusikia wakitamka maneno hayo baada ya mashambulizi yao.
Nalog off
 
Mabinti wazuri wapo front line wakati wengi hatuna wake....JWTZ chonde chonde,tuleteeni tuweke ndani
 
Mabinti wazuri wapo front line wakati wengi hatuna wake....JWTZ chonde chonde,tuleteeni tuweke ndani
hhahahahaha unamaanisha JWTZ wawateke hawa wanawake wa kikongo? lakini mbona kitaani kuna wanawake wa kibongo chungu mzima mkuu.
Nalog off
 
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako murua na yenye kufunza,uwe na moyo huo huo wa kutufunza sie tusiojua na Mungu atakulipa.
Nalog off

Mwanzoni swahiba nikajua na wewe umeingia kwenye genge la wahuni wanaoshabikia ugomvi, mafarakano na matusi ya udini. Umeniprove wrong.

Waislam na Wakristu ni ndugu, tofauti ni imani tu. Wazungu na Waarabu wamefanikiwa sana kutugawa waafrika.

Kwa hii useful post uloandika naomba usilog off.

Sote kwa pamoja tulog in.
 
M23 hata siku moja hawajawahi kujitambulisha kuwa ni Wakristo. Ni kikundi cha watu wanaoona wanaonewa na ni wa dini mbalimbali na wanaamua kupigania haki yao bila kujali dini tofauti ya dini zao. Hii ni tofauti kabisa na Al qaida , Boko haram, Al shabab ambao wanajitambulisha kuwa ni waislam na wanapigania dini ya mungu wao japokuwa kuna utata kama kweli kuna mungu anayestahili kuitwa mungu anayeafiki vitendo vyao. Mbinu za kivita ndizo zinazotofautisha ugaidi na vita vingine.
 
ni kweli ndugu figganigga,sio lengo langu kuwakwaza wenzangu ila hii part ya lugha huwa inanichanganya kwa kweli,kwanini iwe hivi na ilhali hawa wote wanakuwa na lengo moja?
Nalog off

M23 ni wakristu? I mean wamejipambanua kwa dini?
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri ya uasi na ugaidi inategema na kamusi ya sera za ulinzi na mambo ya nje ya Marekani na Ulaya.China nayo imejumuika kutumia neno gaidi kwa raia wake,
 
Mwanzoni swahiba nikajua na wewe umeingia kwenye genge la wahuni wanaoshabikia ugomvi, mafarakano na matusi ya udini. Umeniprove wrong.

Waislam na Wakristu ni ndugu, tofauti ni imani tu. Wazungu na Waarabu wamefanikiwa sana kutugawa waafrika.

Kwa hii useful post uloandika naomba usilog off.

Sote kwa pamoja tulog in.
Hhahahaha haya ngoja tulog in,hapana kiongozi mimi sio mdini na wala siko kwenye kuutetea ila napenda sana kujua na ndio maana nikauliza na ndio maana nimeomba samahani kwa wale wote watakaokwazika na huu,ila binafsi nimeweza kupata jibu nililokuwa silijui.
Nalog off
 
We jamaa ni mdini na unapenda kuendekeza chokochoko za udini nimekufalitia muda mrefu humu JF hata maudhui ya mada yako hii yajihirisha kuna udini ndani yake prove me wrong.
Ungekua unania ya kutaka kujifunza ungeishia nini tofauti kati ya UGAIDI na UASI ila kwa kuwa we ni mtu wa kupenda chokochoko za udini ndio maana haya mambo unayahusisha na UISLAM na UKRISTO
ni bora uendelee kulogoff moja kwa moja husirudi JF mpaka ujifunze kuwa JF sio jukwaa la mifalakano ya kidini
Hhahahaha haya ngoja tulog in,hapana kiongozi mimi sio mdini na wala siko kwenye kuutetea ila napenda sana kujua na ndio maana nikauliza na ndio maana nimeomba samahani kwa wale wote watakaokwazika na huu,ila binafsi nimeweza kupata jibu nililokuwa silijui.
Nalog off
 
Hapo hakuna ukristo au uislamu. Hao ni rebels wa kitusi ambao hawana haki ya hata kuanza mapigano ndani ya kongo. Warudi kwao rwanda wakapigane na kagame wawaache wakongo waishi salama katika nchi yao. Mimi ningekuwa Joseph Kabila ningeanzisha operesheni ya kuondoa wageni wote walioko Kongo bila kufuata taratibu "Operesheni Kimbunga". Nalipongeza Jeshi letu kwa kuwaondoa wauaji wa kitusi. Wala sio waasi hao ni wauaji tu!! Fuatilia habari za hivyo vita utagundua wanaopigana na kuua raia si wakongo ni wageni kutoka rwanda na uganda ndiyo maana wanakimbilia huko baada ya kuzidiwa na jeshi letu. Bravo JWTZ!!!
Hivi ni kwanini Wakristo wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa WAASI na Waislamu wakipigana dhidi ya serikali wanaitwa MAGAIDI? hawa ni M23
9898252025_0e46b9d241_o.jpg

9897445705_9906f35afc_o.jpg

Nalog off
 
Back
Top Bottom