ENOCK TUTU
Member
- Apr 2, 2012
- 9
- 1
kwa jinsi nijuavyo information yoyote iliyopo ktk information za sensa lazima ziwe na faida na maslahi kwa serikali na taifa kwa ujumla.idadi ya waumiki ktk dini flani hakiwezi kuwa kipaombele cha serikali isiyo na dini. kujua kuwa wakristo wako 10%,waislamu 70% na wapagani wako 20%.je serikali ina mpango wa kuanza kuuza biblia/kuruani ! au inampango wa kujenga bible school/madrasa? takwimu za dini serikalini hazina umuhimu wowote ule katika ujenzi wa barabara,shule,maji,umeme,ajira,mfumko wa bei na hospital so itakuwa ni ukosefu wa busara kwa serikali kutumia time na resouces nyingine za watanzania kwa masahi ya viongozi wachache tu wa dini ambao hawana hizo resource za kufanya hiyo sensa kivyao ,wanataka watumie opportunity hii serikali itumie pesa zetu walipa kodi kwa maslahi yao binasfi.
kama viongozi wadini wanataka kujitua wana wafuasi wangapi basi wasubiri iddi/x-mass wawahesabu waumini wao maana ukiweka kipengle cha dini hii itakuwa sensa nyingine tena mfano itatakiwa uonyeshe ktk umri wa miaka 0-5f/m waislamu/wakristo wako wangap up 64+,then itabidi uonyeshe haowaislamu/wakristo wako wapi ,wanaelimu gani na wanafanya kazi zipi? kama unabusara hauwezi thubutu kutumia muda na pesa kwa jambo ambalo huna maslahi nalo.
Kwa nini hao vio ngozi wa dini wakatafuta pesa toka kwa waumini wao throught sadaka na michango mbalimbali waifanya kazi/sensa yao wenyewe!
tuache kuwa vibendera 2fanye mambo yenye maslahi ya wote kitaifa kuliko kidini.!