Message Sending Problem in Samsun Galaxy S2

Message Sending Problem in Samsun Galaxy S2

chwechinyong

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
223
Reaction score
105
Habari wadau,

naombeni msaada wenu kutatua hii shida niliyonayo. Nina Galaxy s2 ambayo inanisumbua kutuma message, sometimes inaload tu wakati wa kutuma msg au inarudisha ujumbe sms not sent. Napokea sms kama kawaida na naweza kupiga simu, napata internet kama kawaida. tatizo kubwa ni kutuma msg. Msaada tafadhali
 
Mkuu jaribu kwenda kwenye msg setting
uone km centre number ipo sawa ya mtandao
unaotumia.
 
Mimi tatizo langu kuu nina Android version 3.1, Sumsung galax tablet., ninashindwa kui-recharge vocha mpaka nitoe line na kuiweka kwenye simu nyingine kisha ndipo nairudishia niendelee kutumia data. Je nifanyaje ili niweze kui-recharge simcard humo humo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom