habar zenu wapendwa tafadhali naomba msaada anaeifaham kampuni ya Empower inashughulika na nini na ipo maeneo gani katika jiji la Mwanza na vipi kuhusu malipo yao.Natanguliza shukrani
jaman habari zenu naa samahanini but its just a matter of question tu ndugu zangu. personally nilifanya interview tar 19/1/2016 hapa HQ arusha ya mpower but sijapata notification yoyote kwan kuna baadhi ya marafiki zangu wamefanyiwa interview leo tar 29/1/2016 huko tabora wakaaambiwa kwamba watawajibu kwa mails pamoja na wale wa mwanza na arusha ambao ni sisi so kipi ni kweli mayb kunawengine walishafanya kama mimi mayb wamekuwa notified wanisaidie jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.