Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Pesa inaweza kununua kitanda lakini haiwezi kununua usingizi. Inaweza kununua ngono lakini haiwezi kununua mapenzi.pesa saabuni ya roho, pesa inahaamisha milima, pesa inanunua penzi, pesa, pesa, pesa.