M-Pesa Gawio.

5AF313T6TLT Imethibitishwa.Umepokea Tsh333.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 15/1/18 saa 8:1 AM Salio lako ni M-Pesa ni

Sasa huu sio ujuha?
 
Nimeambulia shs 580 tu nifanyeje ili niwarudishie Vodacom uchafu wao huu sitaki mikosi kwenye simu yangu

5AF513VD45N Confirmed.You have received Tsh580.00 from 219777 - M-PESA FAIDA on 15/1/18 at 7:50
Bora wewe umeambulia japo ka Pepsi. Mi wamenizawadia tshs 333/= bila shuruti!
 
Tuma salamu kwa watu watatu mkuu.
 
Asante sana nmepata gawiwo la mia mbili (200)..vodacom--- kazi ni kwako
 
Nimeambulia shs 580 tu nifanyeje ili niwarudishie Vodacom uchafu wao huu sitaki mikosi kwenye simu yangu

5AF513VD45N Confirmed.You have received Tsh580.00 from 219777 - M-PESA FAIDA on 15/1/18 at 7:50
Hahahahaaa unataka kurudisha
 
Njooni mjibu maswali ya wateja wenu, sio kuweka mada na kusepa
Watu wanataka namna ya kuwarudishia pesa zenu, wekeni namba yenu turudishe!
 
Waliniambia nitapokea 250 kabla ya tarehe 30.1.2018, lakini viazi tu... Waache utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…