M/kiti kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara: Uzalishaji wa Sukari Tanzania haukidhi mahitaji

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Leo hii mwenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara, Marry Nagu amesema kuwa uzalishaji wa sukari ni mdogo kulinganisha na mahitaji ambapo uzalishaji ni tani 320 wakati mahitaji ni tani 420 hivyo kuomba serikali itoe kibali cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.

Chanzo: Channel ten habari

---------------
Huu ni muendelezo wa kukurupuka.
 
Kwani shida yako nini!!
Kwamba umepata hoja ya kukuza chuki yako dhidi ya serikali!!?

Watu walikuwa wakileta sukari kwa magendo bila kulipia ushuru kupelekea sukari ya nchini kuonekana ya nini

Rais hakukataza kuingia kwa sukari
Ispokuwa kibari kitolewe na waziri mkuu pekee
 
Leo hii mwenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara Marry Nagu amesema kuwa uzalishaji wa sukari ni mdogo kulinganisha na mahitaji ambapo uzalishaji ni tani 320 wakati mahitaji ni tani 420 hivyo kuomba serikali itoe kibali cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.huu ni muendelezo wa kukurupuka.

Chanzo: Channel ten habari

Kuna mawili, aidha haukuelewa kilichosemwa au ulielewa lkn una makusudi ya kupotosha! Nilivyoelea mimi ni kwamba uagizaji ulisitishwa mpka hapo Serikali itakapo ona umuhimu wa kufanya hivyo na huwo umuhimu, ukitokea basi kibali cha kuagiza kitatolewa na Waziri Mkuu, sasa sijui kigumu kuelewa hapo ni kipi?
 
Hao wazalishaji ndiyo waliolalamika, wao ndiyo wanatakiwa wajibu kwanini wanashindwa kuzalisha?
 
Kuna mawili, aidha haukuelewa kilichosemwa au ulielewa lkn una makusudi ya kupotosha! Nilivyoelea mimi ni kwamba uagizaji ulisitishwa mpka hapo Serikali itakapo ona umuhimu wa kufanya hivyo na huwo umuhimu, ukitokea basi kibali cha kuagiza kitatolewa na Waziri Mkuu, sasa sijui kigumu kuelewa hapo ni kipi?
Asante sana mkuu wa ufundishaji wana jf
 
Kuna mawili, aidha haukuelewa kilichosemwa au ulielewa lkn una makusudi ya kupotosha! Nilivyoelea mimi ni kwamba uagizaji ulisitishwa mpka hapo Serikali itakapo ona umuhimu wa kufanya hivyo na huwo umuhimu, ukitokea basi kibali cha kuagiza kitatolewa na Waziri Mkuu, sasa sijui kigumu kuelewa hapo ni kipi?
Wewe acha kupotosha uma.jipu wewe inabidi utumbuliwe
Serikali ya majipu ilisema Tanzania ina sukari nyingi kiasi kwamba huwezi kuingiza sukari ya nje wakati wenyewe tunayo na nukuu

haiwezekani sukari ya nje iingie Tanzania wakati
tunasukari ya kutosha.
 
Kwani shida yako nini!!
Kwamba umepata hoja ya kukuza chuki yako dhidi ya serikali!!?

Watu walikuwa wakileta sukari kwa magendo bila kulipia ushuru kupelekea sukari ya nchini kuonekana ya nini

Rais hakukataza kuingia kwa sukari
Ispokuwa kibari kitolewe na waziri mkuu pekee
Umejivua ufahamu.
 
ama kweli mafisadi wananguvu kuliko serikali magufuli anakazi kubwa sana hao wakina nagu ni majibu tayari wako kwenye mifuko ya mafisadi wamepewa kazi ya kihakikisha magu na serikali yake waonekane ni watu wa kukurupuka tutashuhudia mengi mwaka huu tunasubiri na tamko la viwanda
 
Wewe acha kupotosha uma.jipu wewe inabidi utumbuliwe
Serikali ya majipu ilisema Tanzania ina sukari nyingi kiasi kwamba huwezi kuingiza sukari ya nje wakati wenyewe tunayo na nukuu

haiwezekani sukari ya nje iingie Tanzania wakati
tunasukari ya kutosha.
Asante sana mkuu kwa kumwambia ukweli huyo chumia tumbo,maana ukisema umweli juu ya madhaifu ya ccm unaonekana ni muongo
 
Back
Top Bottom