GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Wanabodi, Wanaomfahamu Professor Assad enzi hizo akijiita M. J Assad watakumbuka mengi sana alikuwa mtu wa haki sana sana.
Alipenda sana kutumia maneno hayo "you get five or you get Zero" hii ilitokana na yeye kutunga swali moja la accounting linalohitaji ufikiri wa hali ya juu na haraka sana na muda ukiwa ni limited sana, Kilichotokea ni wewe kufanya haraka na kuchagua jibu moja sahihi
Mara nyingi watu walipata sifuri yaani zero, Wakati wa masahihisho na kugawa makaratasi alipenda kusema"You get what you deserve "
If you get Zero means you deserve zero so work hard
If you get five means you are competent enough
Haya maneno Prof Assad alikuwa anaongea kwa kiingereza cha marekani huku akiwa kwenye lecture amepiga Jeans moja matata sana na Sandles kubwa kama mhuni fulani hivi
Professor Assad akiwa anaongea lecture huwezi kukosa kutokana na kiingereza chake cha marekani na uwezo wake wa kufundisha Kama msela huku akitumia teknolojia kubwa sana Sana
Enzi hizo udsm Professor Assad watu wa Engineering au education walienda ku opt accounting sababu Ubora wa Professor Assad
Sijashangaa kusema neno dhaifu atazidi kutumia kwani darasani alisema"We get what we deserve zero or five "
Bunge wamepata what they deserve