Message from Gadaffi to Africans

Message from Gadaffi to Africans

his time for departure has arrived-he wont stay longer there-
for his sake-he must leave the power NOW-otherwise,he is just waiting for his fate
 
Why Afrikan brothers dont speak for him? Where is Mandela, Mugabe, Kaunda and other revolutionary people in Africa!!!! Today is Ghadafi and who next.....

Am touched with the word of this true son of Africa....... Jesus will help him.
Gaddafi alikuwa wapi wakati Mandela ananyanyaswa na makaburu, au wakati Kaunda ananyanyaswa na kina Chiluba? Gaddafi huyo kafadhili vikundi vingi vya kigaidi na kubank roll maasi kwenye baadhi ya nchi za Afrika leo kimemgeukia yeye anataka msaada? Bila aibu hivi hivi?
 
Kuna vitu vingine hakusema hapa ambavyo ni points: he launched the first satelite ambayo ilifungua mtandao wa sim kwa africa nzima. kama leo tunatumia sim ya mkononi ni yeye. pia alijenga miskiti na ma hospitali karibu nchi zote za kiafrika. hiyo tunakubali. na aliwasaidia sana wana libya katika vile vitu alitoa bure. Mwisho kabisa nadhani interference ya nchi za nje haikutakiw kua yenye violence, just talks, discussions, na sanctions zingine kama ambargos etc. na hivyo hawakujaribu hata, walimrukia moja kwa moja na visu. Hakusema pia kama kuna interest ya kumiliki the largest african petrol reserve. Hiyo ni kweli
However, tujiulize: Hivi kuwapa watu material goods for free but uwanyime freedom os speech, freedom to chose their representatives, freedom to gather and celebrate or discuss on whatever they want? hamna freedom hapo. aliwatreat wana wa Libya kama watoto. Kweli Libya imebarikiwa na Mungu na pato la serikali lilikua kubwa, lenye kuruhusu hivyo vitu vitolewe bure lakini tutajuaje hilo pato ni la ngapi jumla bila kushirikishwa, huenda kuna vitu vingi zaidi vingeweza kufanywa na hizo hela ambazo zinaaminika kugeuzwa mishahara ya president na wanae? :A S 39:
All in all Ghadafi was a king and does not deserve thjis treatment but na yeye kajitafutia sababu hakuwashirikisha watu na alifanya kiburi wakati alitakiwa kusikiliza umati.

Inaitwaje hiyo satellite?
 
Huwezi ku-provide free systems of social services bila ya kuwa na nguvu na mamlaka ya ku-enforce vitu vifanyike. Even Nyerere did so! Mifumo ya kibepari ni kusaka rasilimali (resources) popote pale na kwa nguvu yoyote ile kulinda mitaji na corporations zao. Kwa Libya, as said life will never be the same, pole Canal Gaddafi.
 
Kuna vitu vingine hakusema hapa ambavyo ni points: he launched the first satelite ambayo ilifungua mtandao wa sim kwa africa nzima. kama leo tunatumia sim ya mkononi ni yeye. pia alijenga miskiti na ma hospitali karibu nchi zote za kiafrika. hiyo tunakubali. na aliwasaidia sana wana libya katika vile vitu alitoa bure. Mwisho kabisa nadhani interference ya nchi za nje haikutakiw kua yenye violence, just talks, discussions, na sanctions zingine kama ambargos etc. na hivyo hawakujaribu hata, walimrukia moja kwa moja na visu. Hakusema pia kama kuna interest ya kumiliki the largest african petrol reserve. Hiyo ni kweli
However, tujiulize: Hivi kuwapa watu material goods for free but uwanyime freedom os speech, freedom to chose their representatives, freedom to gather and celebrate or discuss on whatever they want? hamna freedom hapo. aliwatreat wana wa Libya kama watoto. Kweli Libya imebarikiwa na Mungu na pato la serikali lilikua kubwa, lenye kuruhusu hivyo vitu vitolewe bure lakini tutajuaje hilo pato ni la ngapi jumla bila kushirikishwa, huenda kuna vitu vingi zaidi vingeweza kufanywa na hizo hela ambazo zinaaminika kugeuzwa mishahara ya president na wanae? :A S 39:
All in all Ghadafi was a king and does not deserve thjis treatment but na yeye kajitafutia sababu hakuwashirikisha watu na alifanya kiburi wakati alitakiwa kusikiliza umati.
alijenga misikit mingi kuliko mambo mengine-
hawawezi ku-settle haya mambo kwa talks maana hata yeye miaka ya nyuma alishafanya ugaidi pasipo kutaka mazungumzo na mtu
 
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.

Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.

Awe tayari kuvuna aliyopanda

hakuna lolote hapo! Yaani sisi Wa-TZ ndo majuha ya namba 1. Hapa kwetu huyaoni haya yanayofanyika sasa hivi? Watoto wa wakubwa ndo wanapewa nafasi zile nyeti ili waendelee kututawala "Karaghabhaho". Ni afadhali hata kwa Gadhaffi aliyeweza kuwapa watu wake vitu bure sisi hapa kila kitu taabu tupu na huku rasilimali zetu wanachukua kama hawana akili nzuri.

Hakika hao waliokubali ghiriba ya Western watakuja kujuta siku moja kwa nini walimwondoa Gadhaffi. Tunajidanganya hapa kwetu eti tuna uhuru wa kusema huku maisha ni magumu kila uchao!! Hakika ujumbe wa Gadhaffi unachoma kwa kila Mwafrika mwenye mapenzi mema na bara hili. Kwa nini jamaa wameingilia kwa nguvu zote kiasi hicho kuna nini hapo?? Hadi lini bara letu litaendelea kuwa shamba la bibi ambako hawa "Mbwa" wanakuja kujichotea rasilimali zetu na kuzipeleka kwao?? Natamani AU ingekuwa na uthubutu wa kuwakemea hawa mabeberu!!!
 
where is AU????


waongee wale mavi yao
ushaona hata rais mmoja anaongelea??Ndio maana majuzi kagame amelaani sana na kusema initajika wakati viongozi afrika sasa kuamka na kutumia vitega uchumi walivyo navyo na kuacha kutegemea mabepari wa magharibi ambao wanakupa hela za mkopo huku wakiwa na masharti
ntawaletea simulizi yake majuzi imenifurahisha sana amelaani sana viongozi wa afrika kulinda mafisadi na kusema huu ni ugonjwa mkubwa na ameapa serikali yake na waliochini yake watalinda heshima ya nchi hii na yuko radhi kusahaulika ikiwezekana kwa kuwaadabisha wenye kucheza na mali na pesa za wananchi
Huyo ni kagame...
 
acha kukurupuka dogo tulia kabla hujatuma post huku jf [/QUOT


Join Date : 28th April 2011
Posts : 1
Thanks0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Karibu JF, kwa post hii ya kwanza ilivyokaa, si haba karibu sana
 
I am not saying what the westerners are doing is good. Of course its not but that does not justify what this psychopath is doing. He overstayed yes, but now his people wants him out, and instead of leaving he started shooting them? If Ghadafi love his people so much why did he kill them when they started protesting against his administration? He is a mass murderer!!! He has been into power for so long and I think that affects his judgment. Somebody who has been president for over 40 years and still wants to continue must have psychological problems. Are you telling me the whole of Libya doesnt have people who can be presidents?


Kwenye red inaonyesha jinsi gani ulivyoamini kinachoongelewa CNN, BBC, REUTER, and other other brainwashing agencies like that
 
:frusty:Big up Gadaffi,fight without fear for your country we africans can not help you,but rest assured that,even if you will die fighting, your ghosts will still fight to prevent neo colonialism to your country.Rest assured almight God will purnish all traitors including a possed American litle boy from Kenya.:A S angry::A S-frusty::flame::shetani::amen:
 
True son of Africa, i feel for you Col. oil hungry foreigners and their stooges will never win this war in Libya no matter what...

You are the only :A S-key: to any meaningful solution on this crisis. Times and again the wild west is slow to learn that the use of military force will never bring any peaceful solution in today's world.
 
imgres-14.jpeg
Frantz Fanon July 20, 1925 – December 6, 1961

I don't think Frantz Fanon who wrote, among others, 'The Wretched of the Earth' and 'Black Skins White Masks', would have supported dictator Moammer Gaddafi!

Nyie wote mnaompigia debe Gaddafi mmechelewa, treni limeshapita!

"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfill it, or betray it."
— Frantz Fanon
Jamaa wa Benghazi hilo wamelijua!
 
Wabaya wanasingizia umetawala kwa miaka 40 unastahili kuondoka,mbona Malkia wa UK ametawala miaka 53 na habadilishwi?
 
Mkuu, hilo treni lako limeshapita kuelekea wapi??
Kuelekea huko linakokwenda. Mkuu, huu ni usemi tu nikimaanisha kama wahenga walivyosema, maji yakimwagika hayazoeleki.

Gaddafi hata kama alijenga sasa anabomoa. Ningemheshimu saana kama angeachia ngazi miaka mingi iliyopita. Kwa sasa wacha abondwe na hao "rafiki" zake aliyediriki kuwakumbatia mpaka akome!
 
"..........., never realizing that in America, there was no free medicine, no free hospitals, no free housing, no free education and no free food, except when people had to beg or go to long lines to get soup."


NATO HAWANA CHOCHOTE WANACHOPIGANIA ZAIDI WIVU +MAFUTA TU MAANA GADAFFI KAWAPIGA GAP KUTOA HIZO SERVICES BURE.


HIVI AFADHALI KUWE NA DEMOKRASIA LAKINI MAISHA YA HOVYO AU UISHI VIZURI ILA UTAWALIWE NA KIONGOZI FOCUSED?


DEMOCARACY IS FOR PEOPLE TO RULE THEMSELVES TO ATTAIN DEVELOPMENT.IS NOT SHOW OFF AS AFRICAN MADE TO BELIEVE BY WEST.



GADAFFI IS HERO TO HIS PEOPLE,PROPOUNDING DEMOCRACY WITHOUT COMMITMENT TO CITIZEN IS DAY DREAM!
 
...GADAFFI IS HERO TO HIS PEOPLE,...
Simple logic, if 'Gadaffi is hero to his people', why then is there an uprising/rebellion in Libya? Because of NATO, oil etc, huh?
 
Back
Top Bottom