Siku mbaya-dizasta vinaKabla sijameza mate wala sijabuni sala
Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara
Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi
Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara
Baada ya masaa kibao ya kufikiri
Ofisi ikaweka kikao kunijadili
Waliniona driver nimeangusha basi
Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi
Nikatahamaki, sikujua lakufanya
Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama
Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa
Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa
Nikajiuliza huruma imekwenda wapi?
Kila mtu alijua kua nilipenda kazi
Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi
Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati
Acha familia, vipi deni la ofisi
Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi
Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa
Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha
Secreto-young killer"Nipikie kuku kuku,
Hizi hela nususu,
Za madera zikikukera niambie duku duku,
Hali ya hewa inaruhusu,
Tukikaa tupu tupu,
Ukaniama nikaunga tela huku nashika supu supu.."
Hasa mkwepu mwenyeweNgoja wadau wengine waje [emoji23]
Hahahaa umekoseaaDon't Let It Break Your Heart_Louis Tomlinson.
Wake me up-AviciiFeeling my way through the darkness guided by a beating heart i can't tell where the journey will end but i know where to start they tell me i'm too young to understand they say i'm cought up in a dream well life will pass me by if i don't open up my eyes well that's fine by me. So wake me up when it's all over.
one of my all the time favorite song
[emoji23][emoji23][emoji23],,,wimbo gani uo?Feeling my way through the darkness guided by a beating heart i can't tell where the journey will end but i know where to start they tell me i'm too young to understand they say i'm cought up in a dream well life will pass me by if i don't open up my eyes well that's fine by me. So wake me up when it's all over.
one of my all the time favorite song
Wake me up ya marehemu avcii.[emoji23][emoji23][emoji23],,,wimbo gani uo?
Sikh mbaya_Dizasta vinaKabla sijameza mate wala sijabuni sala
Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara
Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi
Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara
Baada ya masaa kibao ya kufikiri
Ofisi ikaweka kikao kunijadili
Waliniona driver nimeangusha basi
Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi
Nikatahamaki, sikujua lakufanya
Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama
Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa
Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa
Nikajiuliza huruma imekwenda wapi?
Kila mtu alijua kua nilipenda kazi
Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi
Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati
Acha familia, vipi deni la ofisi
Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi
Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa
Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha
Fid q ..... Jna la wimbo nimesahau kdg"Naposamehe walionikosea haimaniishi nitawasahau
Nitawadharau ikitokea wakapotea kwa ubishi wao
Ikiwa kuishi kwao bila kusifiwa ai-fit kwao basi ma-snitch wao watakabidhiwa stitches zao.
I go harder sio mikwara ka Gosby, sirap kifala ukilinga wala sio Nyosh, nipo deep bhana ka sigara mie moshi, Kankara ya warawara haitoshi..."
Young killer secreto"Nipikie kuku kuku,
Hizi hela nususu,
Za madera zikikukera niambie duku duku,
Hali ya hewa inaruhusu,
Tukikaa tupu tupu,
Ukaniama nikaunga tela huku nashika supu supu.."
Whitney HoustonIt is over now
I can't go back to live through your eyes
Too many lies
And if you don't know by now I can't go back to being someone else
Not anymore
I never had the chance to do things my way
So now its time for me to take control
[emoji13] wa nani huu?