Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
kalaga baho....nani kasema? au kuna kitu hatukijui unataka kutufahamisha
mdebadegeleka, uri timukyi?, urule liva pole sana gwanangwa, ginehye mbura ayandije mwaka gwenuyu naliza gulyima maburuba geta.....
uri timukyi?
..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.
Bro, by that statement above in ur explanation.... u have jst underscored the point (ukabila)... always watch wat u say while trying to defend ur case....if this was a court of law...hapo mkuu umesha'haribu...
Preta,
Oramia necha mae! Msoro kakuira kakuruo kitarenyi nochighamba kura?
underscoring by articulating reality? Who knows not,that they r unschoolaz? If reality is a blander,should I b included on defence of thruth n reality. Bro,call a spade ,'a spade!'
JIUZULUNI:smile-big: halafu tuone na wao kama sio WAKABILA:smile-big::smile-big:ni ajabu kusema hivyo, kwani tz hakuna ukabila. chukulia Iringa mjini aliyeshinda pale ni msigwa, yule jamaa siyo mhehe, ni mbena. ukienda kule mbeya aliyeshinda ni mr.sugu, yule si mnyakyusa, ni mkinga wa makete. ukienda popote tz, utakuta kuna mtu ametoka mkoamwingine akaenda kugombea sehemu ambayo si ya kabila lake na ameshinda. acheni hayo, tz hakuna ukabila. kwani slaa ni mchaga? au kwasababu mbowe na mkwewe ni wachaga...mbona iringa mbeya, mwanza, arusha na manispaa zote kubwa zinaifagilia sana chadema na wao si wachagga,..hii concept ni mbaya sana. mnatuonea sana wachagga nyie watu, uo ukabila miaka ya siku hizi haupo kabisa....
chukulia mfano, watu waliokuwa wanaambiwa ni wakabila walikuwa wakwanza wahaya, wachaga na wanyakyusa...na ndo walikuwa wasomi. lakini sasaivi mtu akija na cv yake akasema yeye ni msomi kwasababu ni mchaga, mhaya au mnini sijui (kwani zamani ni kweli walichukua sana mashirika ya bima kwa wanyakyusa, TRA kwa wachaga, na kwengine wahaya)...lakini sasaivi watu wote wasomi..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.
When u start sth u got to have an ally or those who u trust to nurture ur dreams to reality and every journey start with one step,having said so it really doesn't matter if the ideologies proposed r from one mrengo..so rest ur case and united we stand for those few who dared..I salute unani kasema? au kuna kitu hatukijui unataka kutufahamisha
ngembaghaa
Mbona leo JF haisomeki, hizi ni lugha gani tena? Mnajadili nini? Kuna nani mnafumbia!? Lugha rasmi ya JF sio English na swahili kweli!!!!!??? Mmenimaliza
Chelsea. Mabingwa.[/QU
hivi huyu mbunge mteule wa mbeya josef mbilinyi ni msanii au?
hivi huyu mbunge mteule wa mbeya josef mbilinyi ni msanii au?