Elections 2010 Lyembo lya Nsaji: Chadema Chama Cha Kikabila

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu.

Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu.

Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam).

Eti ni Chama cha Wachaga. Wachaga?

Jamani, yaani naise Bhasuguma duli Bhachaga?

Bhabehi? Yaani abhanang'wanza na bhanashinyanga nabho bhachaga? (ihendage).

Kweli gete? Ninga mlenha makelege? Yaani abhana Msoma na bhanambeya na bhanajigoma nabho bhachaga?

mmh? lyehaga nifule tam.

......................................

.....................................

hem nashoge numa hadoo. hivi, abhanabhukobha nabho bhachaga?

eh?

ginehe abhaniringa? nabho bhachaga? bhagosha!!! mh!!

Abhanankhwani ginehe? Nabho bhachaga?

eeh?

Kila kitu kina mwanzo wake. Chadema kilibuniwa na kina Mzee Mtei, Jaji Bomani (heshima kwao). Mtei ni Mchaga yes. Lakini hiyo haina maana kuwa Chadema ni cha Wachaga (ukabila). CCM ilianzia Pwani, kwa hiyo tuseme CCM ni Chama Cha Waislamu? Ni mwehu (nsaji) tu anaweza kufikiri hivyo.

Na hapa CCM mumeharibu:
Kuwakera wasukuma. Msukuma akikumwaga sahau. Miaka ya 90 tulikuwa tunaambiwa "chama ninge fita" (vyama vingi ni vita). Tuliamini. Kwanini tusiamini wakati Nyerere alikuwa hai? Sasa mumebaki wasanii, kina Januari. Watoto wadogo munataka muiweka nchi kwenye viganja vyenu kwa kutumia madini yanayopatikana kwenye ardhi yetu ya asili (usukumani). Pesa Shinyanga/Mwanza/Musoma, matanuzi Dar na Ulaya. Hahaha!!

Mukishindwa kututawala tutajitawala wenyewe. Tumashaanza kwa kujiundia halmashauri zetu wenyewe kwanza.

Si mliona kile tulimfanya Waziri wa Polisi? Yaani udunuto doli duswalala duhu bhuya. E mbula jitali.

Kichaa (CCM) bado anaimba. Tena anaimba kupitia kiranja wao Mkuu. Chadema ni cha udini. Abhalemelwa ugubhamana duhu. Bhobha!

Mumechakachua kura. Sisi (Chadema) tunachakachua akili za Watanzania. Waamke. Wafumbue macho. Waone. Si kiranja wenu anawaita Watz majuha? Tutawaeleza juha maana yake nini. Si kiranja wetu wa zamani naye alikula valuu siku ile akasema Watz ni kokoto? Tutawaeleza Watz maana ya kokoto maana hawazijui. Watazijua wapi wakati wanaishi kwenye nyumba za tembe? Tutachakachua akili za Watz. Miaka mi5 mingi sana. Mwaka 2015 tutadhibiti bunge kwa wingi wa viti.

Lyehaga naje nagilolele mpila (Liva na Chesii) kwanza.
 
aika sana ngosha.......uruka lhuu nyi woru loose watanzania.......werera sana lakini Chadema yewikio mbora tupu.......maka o shiku shiwi na ikumi na tano uruka lhuu ni wo Chadema.....Ruwa neetarama tiki.....wo waore eleri so luore Ruwa
 
nani kasema? au kuna kitu hatukijui unataka kutufahamisha
 
ni ajabu kusema hivyo, kwani tz hakuna ukabila. chukulia Iringa mjini aliyeshinda pale ni msigwa, yule jamaa siyo mhehe, ni mbena. ukienda kule mbeya aliyeshinda ni mr.sugu, yule si mnyakyusa, ni mkinga wa makete. ukienda popote tz, utakuta kuna mtu ametoka mkoamwingine akaenda kugombea sehemu ambayo si ya kabila lake na ameshinda. acheni hayo, tz hakuna ukabila. kwani slaa ni mchaga? au kwasababu mbowe na mkwewe ni wachaga...mbona iringa mbeya, mwanza, arusha na manispaa zote kubwa zinaifagilia sana chadema na wao si wachagga,..hii concept ni mbaya sana. mnatuonea sana wachagga nyie watu, uo ukabila miaka ya siku hizi haupo kabisa....

chukulia mfano, watu waliokuwa wanaambiwa ni wakabila walikuwa wakwanza wahaya, wachaga na wanyakyusa...na ndo walikuwa wasomi. lakini sasaivi mtu akija na cv yake akasema yeye ni msomi kwasababu ni mchaga, mhaya au mnini sijui (kwani zamani ni kweli walichukua sana mashirika ya bima kwa wanyakyusa, TRA kwa wachaga, na kwengine wahaya)...lakini sasaivi watu wote wasomi..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.
 
Preta,

Oramia necha mae! Msoro kakuira kakuruo kitarenyi nochighamba kura?
 
..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.

Bro, by that statement above in ur explanation.... u have jst underscored the point (ukabila)... always watch wat u say while trying to defend ur case....if this was a court of law...hapo mkuu umesha'haribu...
 
underscoring by articulating reality? Who knows not,that they r unschoolaz? If reality is a blander,should I b included on defence of thruth n reality. Bro,call a spade ,'a spade!'
 
underscoring by articulating reality? Who knows not,that they r unschoolaz? If reality is a blander,should I b included on defence of thruth n reality. Bro,call a spade ,'a spade!'

hurt me with the truth, but don't comfort me with a lie

jamaa anaumia, lakini huo ndo ukweli.

kucheza bao. kunywa kahawa.
 
ni ajabu kusema hivyo, kwani tz hakuna ukabila. chukulia Iringa mjini aliyeshinda pale ni msigwa, yule jamaa siyo mhehe, ni mbena. ukienda kule mbeya aliyeshinda ni mr.sugu, yule si mnyakyusa, ni mkinga wa makete. ukienda popote tz, utakuta kuna mtu ametoka mkoamwingine akaenda kugombea sehemu ambayo si ya kabila lake na ameshinda. acheni hayo, tz hakuna ukabila. kwani slaa ni mchaga? au kwasababu mbowe na mkwewe ni wachaga...mbona iringa mbeya, mwanza, arusha na manispaa zote kubwa zinaifagilia sana chadema na wao si wachagga,..hii concept ni mbaya sana. mnatuonea sana wachagga nyie watu, uo ukabila miaka ya siku hizi haupo kabisa....

chukulia mfano, watu waliokuwa wanaambiwa ni wakabila walikuwa wakwanza wahaya, wachaga na wanyakyusa...na ndo walikuwa wasomi. lakini sasaivi mtu akija na cv yake akasema yeye ni msomi kwasababu ni mchaga, mhaya au mnini sijui (kwani zamani ni kweli walichukua sana mashirika ya bima kwa wanyakyusa, TRA kwa wachaga, na kwengine wahaya)...lakini sasaivi watu wote wasomi..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.
JIUZULUNI:smile-big: halafu tuone na wao kama sio WAKABILA:smile-big::smile-big:
 
nani kasema? au kuna kitu hatukijui unataka kutufahamisha
When u start sth u got to have an ally or those who u trust to nurture ur dreams to reality and every journey start with one step,having said so it really doesn't matter if the ideologies proposed r from one mrengo..so rest ur case and united we stand for those few who dared..I salute u
 
Mbona leo JF haisomeki, hizi ni lugha gani tena? Mnajadili nini? Kuna nani mnafumbia!? Lugha rasmi ya JF sio English na swahili kweli!!!!!??? Mmenimaliza

leo tumeamua kuongea kitanzania.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom