Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu.
Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu.
Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam).
Eti ni Chama cha Wachaga. Wachaga?
Jamani, yaani naise Bhasuguma duli Bhachaga?
Bhabehi? Yaani abhanang'wanza na bhanashinyanga nabho bhachaga? (ihendage).
Kweli gete? Ninga mlenha makelege? Yaani abhana Msoma na bhanambeya na bhanajigoma nabho bhachaga?
mmh? lyehaga nifule tam.
......................................
.....................................
hem nashoge numa hadoo. hivi, abhanabhukobha nabho bhachaga?
eh?
ginehe abhaniringa? nabho bhachaga? bhagosha!!! mh!!
Abhanankhwani ginehe? Nabho bhachaga?
eeh?
Kila kitu kina mwanzo wake. Chadema kilibuniwa na kina Mzee Mtei, Jaji Bomani (heshima kwao). Mtei ni Mchaga yes. Lakini hiyo haina maana kuwa Chadema ni cha Wachaga (ukabila). CCM ilianzia Pwani, kwa hiyo tuseme CCM ni Chama Cha Waislamu? Ni mwehu (nsaji) tu anaweza kufikiri hivyo.
Na hapa CCM mumeharibu:
Kuwakera wasukuma. Msukuma akikumwaga sahau. Miaka ya 90 tulikuwa tunaambiwa "chama ninge fita" (vyama vingi ni vita). Tuliamini. Kwanini tusiamini wakati Nyerere alikuwa hai? Sasa mumebaki wasanii, kina Januari. Watoto wadogo munataka muiweka nchi kwenye viganja vyenu kwa kutumia madini yanayopatikana kwenye ardhi yetu ya asili (usukumani). Pesa Shinyanga/Mwanza/Musoma, matanuzi Dar na Ulaya. Hahaha!!
Mukishindwa kututawala tutajitawala wenyewe. Tumashaanza kwa kujiundia halmashauri zetu wenyewe kwanza.
Si mliona kile tulimfanya Waziri wa Polisi? Yaani udunuto doli duswalala duhu bhuya. E mbula jitali.
Kichaa (CCM) bado anaimba. Tena anaimba kupitia kiranja wao Mkuu. Chadema ni cha udini. Abhalemelwa ugubhamana duhu. Bhobha!
Mumechakachua kura. Sisi (Chadema) tunachakachua akili za Watanzania. Waamke. Wafumbue macho. Waone. Si kiranja wenu anawaita Watz majuha? Tutawaeleza juha maana yake nini. Si kiranja wetu wa zamani naye alikula valuu siku ile akasema Watz ni kokoto? Tutawaeleza Watz maana ya kokoto maana hawazijui. Watazijua wapi wakati wanaishi kwenye nyumba za tembe? Tutachakachua akili za Watz. Miaka mi5 mingi sana. Mwaka 2015 tutadhibiti bunge kwa wingi wa viti.
Lyehaga naje nagilolele mpila (Liva na Chesii) kwanza.