Lyembo lya Nsaji: Chadema Chama Cha Kikabila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lyembo lya Nsaji: Chadema Chama Cha Kikabila

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 7, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu.

  Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu.

  Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam).

  Eti ni Chama cha Wachaga. Wachaga?

  Jamani, yaani naise Bhasuguma duli Bhachaga?

  Bhabehi? Yaani abhanang'wanza na bhanashinyanga nabho bhachaga? (ihendage).

  Kweli gete? Ninga mlenha makelege? Yaani abhana Msoma na bhanambeya na bhanajigoma nabho bhachaga?

  mmh? lyehaga nifule tam.

  ......................................

  .....................................

  hem nashoge numa hadoo. hivi, abhanabhukobha nabho bhachaga?

  eh?

  ginehe abhaniringa? nabho bhachaga? bhagosha!!! mh!!

  Abhanankhwani ginehe? Nabho bhachaga?

  eeh?  Kila kitu kina mwanzo wake. Chadema kilibuniwa na kina Mzee Mtei, Jaji Bomani (heshima kwao). Mtei ni Mchaga yes. Lakini hiyo haina maana kuwa Chadema ni cha Wachaga (ukabila). CCM ilianzia Pwani, kwa hiyo tuseme CCM ni Chama Cha Waislamu? Ni mwehu (nsaji) tu anaweza kufikiri hivyo.

  Na hapa CCM mumeharibu:
  Kuwakera wasukuma. Msukuma akikumwaga sahau. Miaka ya 90 tulikuwa tunaambiwa "chama ninge fita" (vyama vingi ni vita). Tuliamini. Kwanini tusiamini wakati Nyerere alikuwa hai? Sasa mumebaki wasanii, kina Januari. Watoto wadogo munataka muiweka nchi kwenye viganja vyenu kwa kutumia madini yanayopatikana kwenye ardhi yetu ya asili (usukumani). Pesa Shinyanga/Mwanza/Musoma, matanuzi Dar na Ulaya. Hahaha!!

  Mukishindwa kututawala tutajitawala wenyewe. Tumashaanza kwa kujiundia halmashauri zetu wenyewe kwanza.

  Si mliona kile tulimfanya Waziri wa Polisi? Yaani udunuto doli duswalala duhu bhuya. E mbula jitali.

  Kichaa (CCM) bado anaimba. Tena anaimba kupitia kiranja wao Mkuu. Chadema ni cha udini. Abhalemelwa ugubhamana duhu. Bhobha!

  Mumechakachua kura. Sisi (Chadema) tunachakachua akili za Watanzania. Waamke. Wafumbue macho. Waone. Si kiranja wenu anawaita Watz majuha? Tutawaeleza **** maana yake nini. Si kiranja wetu wa zamani naye alikula valuu siku ile akasema Watz ni kokoto? Tutawaeleza Watz maana ya kokoto maana hawazijui. Watazijua wapi wakati wanaishi kwenye nyumba za tembe? Tutachakachua akili za Watz. Miaka mi5 mingi sana. Mwaka 2015 tutadhibiti bunge kwa wingi wa viti.

  Lyehaga naje nagilolele mpila (Liva na Chesii) kwanza.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  aika sana ngosha.......uruka lhuu nyi woru loose watanzania.......werera sana lakini Chadema yewikio mbora tupu.......maka o shiku shiwi na ikumi na tano uruka lhuu ni wo Chadema.....Ruwa neetarama tiki.....wo waore eleri so luore Ruwa
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  nani kasema? au kuna kitu hatukijui unataka kutufahamisha
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni ajabu kusema hivyo, kwani tz hakuna ukabila. chukulia Iringa mjini aliyeshinda pale ni msigwa, yule jamaa siyo mhehe, ni mbena. ukienda kule mbeya aliyeshinda ni mr.sugu, yule si mnyakyusa, ni mkinga wa makete. ukienda popote tz, utakuta kuna mtu ametoka mkoamwingine akaenda kugombea sehemu ambayo si ya kabila lake na ameshinda. acheni hayo, tz hakuna ukabila. kwani slaa ni mchaga? au kwasababu mbowe na mkwewe ni wachaga...mbona iringa mbeya, mwanza, arusha na manispaa zote kubwa zinaifagilia sana chadema na wao si wachagga,..hii concept ni mbaya sana. mnatuonea sana wachagga nyie watu, uo ukabila miaka ya siku hizi haupo kabisa....

  chukulia mfano, watu waliokuwa wanaambiwa ni wakabila walikuwa wakwanza wahaya, wachaga na wanyakyusa...na ndo walikuwa wasomi. lakini sasaivi mtu akija na cv yake akasema yeye ni msomi kwasababu ni mchaga, mhaya au mnini sijui (kwani zamani ni kweli walichukua sana mashirika ya bima kwa wanyakyusa, TRA kwa wachaga, na kwengine wahaya)...lakini sasaivi watu wote wasomi..labda mamwinyi wa pwani wanaotandika mkeka na kucheza bao badala ya kupiga kitabu. ukabila hakuna, na sisi wachaga tumechoka kusemwasemwa.
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  kalaga baho....
   
 6. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Preta,

  Oramia necha mae! Msoro kakuira kakuruo kitarenyi nochighamba kura?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mdebadegeleka, uri timukyi?, urule liva pole sana gwanangwa, ginehye mbura ayandije mwaka gwenuyu naliza gulyima maburuba geta
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Chelsea. Mabingwa.
   
 9. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bro, by that statement above in ur explanation.... u have jst underscored the point (ukabila)... always watch wat u say while trying to defend ur case....if this was a court of law...hapo mkuu umesha'haribu...
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  underscoring by articulating reality? Who knows not,that they r unschoolaz? If reality is a blander,should I b included on defence of thruth n reality. Bro,call a spade ,'a spade!'
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ngembaghaa
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hurt me with the truth, but don't comfort me with a lie

  jamaa anaumia, lakini huo ndo ukweli.

  kucheza bao. kunywa kahawa.
   
 13. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  JIUZULUNI:smile-big: halafu tuone na wao kama sio WAKABILA:smile-big::smile-big:
   
 14. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  When u start sth u got to have an ally or those who u trust to nurture ur dreams to reality and every journey start with one step,having said so it really doesn't matter if the ideologies proposed r from one mrengo..so rest ur case and united we stand for those few who dared..I salute u
   
 15. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Mbona leo JF haisomeki, hizi ni lugha gani tena? Mnajadili nini? Kuna nani mnafumbia!? Lugha rasmi ya JF sio English na swahili kweli!!!!!??? Mmenimaliza
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  leo tumeamua kuongea kitanzania.....
   
 17. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Asante:

  MAKE LOVE NOT WAR!!!!

   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  karibu
   
 19. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Mind your business
   
Loading...