ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Wakuu nimejaribu kumsoma huyu bwana na maandiko yake mengi lakini sijaona chochote cha kusema kinanistua... sio kwamba nakuwa mean lakini nimeona amelalamika zaidi ya kusema kile ambacho anafikiri kitarekebisha hali iliyomtokea.Halafu sehemu kubwa ya andiko lake imenifanya kuona kuwa huyu bwana he is selfish sana yaani ni kujiongelea yeye tu na matatizo yake.Nani amemwambia kuwa kuendesha VX ndio kuonekana nadhifu?Hii thinking yake kuwa yeye ana matatizo na kuamua kurudia rudia kua aliacha kazi kwa notisi ya masaa 24 na kuachia mishahara yake (As if hiyo mishahara ilikua ni mamilioni!!) imenifanya nimshangae sana huyu bwana.
Ni mawazo yangu tu
Wakuu nimejaribu kumsoma huyu bwana na maandiko yake mengi lakini sijaona chochote cha kusema kinanistua... sio kwamba nakuwa mean lakini nimeona amelalamika zaidi ya kusema kile ambacho anafikiri kitarekebisha hali iliyomtokea.Halafu sehemu kubwa ya andiko lake imenifanya kuona kuwa huyu bwana he is selfish sana yaani ni kujiongelea yeye tu na matatizo yake.Nani amemwambia kuwa kuendesha VX ndio kuonekana nadhifu?Hii thinking yake kuwa yeye ana matatizo na kuamua kurudia rudia kua aliacha kazi kwa notisi ya masaa 24 na kuachia mishahara yake (As if hiyo mishahara ilikua ni mamilioni!!) imenifanya nimshangae sana huyu bwana.
Ni mawazo yangu tu
Wapendwa wana ukumbi, JF
Napenda kuwafikishia salamu za utangulizi juu ya kujiunga rasmi kwa aliyekuwa mbunge wa Bukoba mjini kwa tiketi ya CUF mwaka 2000-2005 hapa jukwaani, JF
Mh. Lwakatare atafanya hivyo kesho mida ya mchana. Kama ilivyo ada na utamaduni tunaoujenga hapa jukwaani, tunaombwa kumkaribisha mgeni huyu mwenye hazina muhimu kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu.
Binafsi natanguliza shukrani kwa Mh. Lwakatare kwa kukubali mwaliko huu ili aweze kuzungumza moja kwa moja na Watanzania walio katika majukwaa ya mitandao.
Ameingia kwa ID gani? Tungependa kujua ili afafanue vizuri bandiko katika thread hii.MawazoMatatu,
Natumaini alitimiza
Ameingia kwa ID gani? Tungependa kujua ili afafanue vizuri bandiko katika thread hii.
Mi nilishaanza kumhisi tangu jana
Mi nilishaanza kumhisi tangu jana
Sipendi kuwabore kama yule ndg yetu ambaye akipenda mtu hataki asemwe vibaya.
Kubaliana na wewe kabisa jamaa huwa anabore sana
Lakini Bro kuna ule wimbo wa Bob Marley aliweka maneno makali sana "You can fool people for sometime BUT not all the time. Wanaohisia sidhani kama wako mbali na ukweli
Kila laheri Omutwale Entare aka..........................!
Look down here:
Omutwale
Join Date: Mon Feb 2008 Posts: 144
Thanks: 54
Thanked 117 Times in 48 Posts
Rep Power: 22
Credits: 346,873,775
Man, understand me! I have been here long time kitambo. Kwa nini nitake attention kama mie ndiye Lwaks?
Mimi sio kuwa namtetea Rwakatare, lakini mtu akiachishwa hata kama hajamtaharifu si anapewa chake kulingana na taratibu na kama ameiba wamwambie basi uiliiba hauna chako hapa ili arudi kwao kulima.
Jamani swala ni taratibu zilizotumika hapa, kama chama chenyewe hakina madaraka wanaburunda namna hii kikipata madaraka si itakuwa hatari, ndio maana sometimes watu wanaona ni bora zimwi likujualo kuliko jipya kabisa maana hata jinsi ya kuishi nalo hutaju
Kwa hali kama hii CCM will rule forever in Tanzania and will get support from all kind of people unless hivi vyama uchwara vijue jinsi ya kufuata taratibu za uongozi ndani ya vyama vyenyewe.
........ kulingana na taratibu na kama ameiba wamwambie basi uiliiba hauna chako hapa ili arudi kwao kulima.
Jamco_Za,
Rejea mahojiano kati ya M/Kiti Prof. Ibrahim Lipumba na waandishi wa Habari wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Lwakatare kujiuzuru.
Katika kipande cha mahojiano ambacho kimenukuliwa ndani ya MwanaHalisi ya wiki hii (siyo la kesho), Prof. amesema wazi kuwa Lwakatare amejiuzuru pasipo msukumo wa mtu au shuruti kwa sababu HAKUWA NA SHUTUMA YOYOTE.
Mkuu Omutwale,
Mbona maelezo ya Lwakatare yanatofautiana na hayo yaliyotamkwa na Mwenyekiti wake kwenye mahojiano?
Ni kwa vipi Mh Lwakatare alisahau kuhoji hiyo kauli ya Mwenyekiti wake katika maelezo yake tuliyonayo hapo juu? Was it an oversight? or was he overwhelm na jambo jingine?
Sijakupata vizuri jinsi gani yanatofautiana. Labda ni vema kujua nani alitangulia kutoa maelezo na hivyo kupata msingi wa nani angeweza kujibu hoja za mwenzie.
Lwakatare alitoa haya maelezo wakati anawasilisha barua ya kujiuzuru tarehe 9 June, 2009. M/Kiti Prof. Lipumba akaitisha press conference siku zilizofuata baada ya maelezo ya Lwakatare. Ningefikiri kwamba Prof. ndiye alikuwa anajibu hoja za maelezo ya Lwakatare
Je, kwanini Mh Lwakatare hajisafishi katika tuhuma ambazo aliambiwa kuwa alifanya ubadhirifu wa fedha ya chama? Kukaa kimya maana tutaelewa kuwa tuhuma zilikuwa ni za kweli.
By OmutwaleBaada ya kujitambua kuwa nina extreme affection na Lwakatare sikupenda kabisa kuwa mchangiaji katika hii thread. Maana nilijua kwa ukweli kabisa kuwa siwezi kuwa neutral. Sipendi kuwabore kama yule ndg yetu ambaye akipenda mtu hataki asemwe vibaya.
Natumaini alikwisha elezwa hilo. Na nilifurahi kusikia kuwa anawajua hata wale waliojaribu kuingia na majina yao, wakakaribishwa, wakachangia lakini kilipoanza kibano, wakaacha ku-log-in kwa hayo majina. Miongoni mwao ni "Dowans", etc
Nina hakika alifika hapa jukwaani jana.
Kwa leo na siku 2-3 zinazokuja natumaini atakuwa busy kujiandaa na safari ya kwenda BK kupata ushauri wa wananchi juu ya nini afanye na nini kifuate.
Wananchi watampa majibu juu ya kwa nini ahame CUF, na wanataka ahamie chama gani.