Ni kawaida wapinzani kuhangaika wala hakuna cha ajabu kwani hana jipya atakalolifanya
Hiyo siyo kweli Nziku mimi naamini wale wanao hama hama ni watu wenye tamaa na uroho wa madaraka na kujiona wao ni miungu watu never Nziku lazima ukubaliane na maamuzi ya walio wengiYeyote anahaki na uhuru wa kuhamia chama chochote anachopendezewa nacho. Hata wewe huenda ukahamia chama kingine anytime. Let say upo CCM sasa (ni kwasababu unaridhika na yale inayoyafanya au sababu nyingine). So, sababu hizo zikitoweka utahamia chama kingine.
Mtu anayesema atabakia chama hichohicho hata mambo yaweje huyo anamatatizo ktk mfumo wake wa kutafakari na kutoa maamuzi.
Amefanya jambo la maana kuchukua uamuzi huo.
Zito kila kitu Zito hana hoja za msingi zaidi ya ubishi usiokuwa na maana na kuta sifa mimi binafsi sijaona hoja anazotoa huyo Zito wenuHivi Tanzania vyama vyetu vina sera mama? Ni vyama vipi ni vya mlengo wa kushoto na vipi kulia? Sijawahi kusikia wakibishana kuhusu sera bali zaidi ni utendaji ( mikataba ya ulaji, takrima n.k.). Naona Zito ameuliza maswali ya msingi lakini kinachokazaniwa ni neno 'ovyo ovyo'! Hakuna mwenye ubavu wa kutueleza ni sera gani zitakazo tutoa hapa tulipo! Ndiyo maana mimi ninavyoona kuna sera mbili tuu; utawala na upinzani. Kwa hali hiyo hakuna tofauti ya msingi kati ya Chadema na CUF kumfanya Lwakatare aonekane msaliti. Wote hawa sera yao ni upinzani; mmoja amejikita kwenye kutetea maslahi ya watu wa bara na mwingine Pemba.
Kama kweli amehama, namtakia kila la kheri huko alikoenda.
Amandla..........
Hiyo siyo kweli Nziku mimi naamini wale wanao hama hama ni watu wenye tamaa na uroho wa madaraka na kujiona wao ni miungu watu never Nziku lazima ukubaliane na maamuzi ya walio wengi
Zito kila kitu Zito hana hoja za msingi zaidi ya ubishi usiokuwa na maana na kuta sifa mimi binafsi sijaona hoja anazotoa huyo Zito wenu
zitto NJAA zimemuandama,alilidhihirisha hili kwenye sakata la dowans
Kwa hiyo kwa sababu aliteleza mara moja basi kila asemacho kimekuwa ovyo? Si mnamtupa mtoto na maji mliomuogeshea!
Amandla......
kwa level aliyofikia kisiasa,na kwa namna watanzania wengi walivyoweka imani kwake...............!kwahili moja unaloita 'kuteleza',zitto namshauri AACHANE NA SIASA.
amepoteza ladha!the guy is tasteless men!and so does mwita!,lwakatare,and the likes.they have that spirit of SELFISHNESS,an enterpreneuer character.
Kuna wakati huwa namkubali sana NAPE!hakutetereka

Yego Masatu,Huyo Kitila "kachanganyikiwa" na masuala ya Housegirl wake sasa anamwaga utumbo tu
kwa level aliyofikia kisiasa,na kwa namna watanzania wengi walivyoweka imani kwake...............!kwahili moja unaloita 'kuteleza',zitto namshauri AACHANE NA SIASA.
amepoteza ladha!the guy is tasteless men!and so does mwita!,lwakatare,and the likes.they have that spirit of SELFISHNESS,an enterpreneuer character.
Kuna wakati huwa namkubali sana NAPE!hakutetereka
Kwa hiyo unaona entrepreneurship ni dhambi? Kwa mtaji huu hatutafika kokote!
Amandla.........
Hapa mtasema mengi amabayo hayakuwahi kutoka midomoni mwenu, lakini Lwaks huyooooooooooooooo chadema. Mnayodhani kuwa yatakuwa maafa kumbe itakuwa baraka.Nakumbuka msaji wa kwanza wa vyama vya siasa Bw. George Liundi, aliwahi kunukuliwa akisema aliwajua fika wanasiasa waliopandikizwa katika vyama vya upinzani kwa maksudi ya kuvivuruga. Nafikiri ndo akina hawa Lwaks na wenzake watafuatia tu, ngojeni.