Lwandamina jiheshimu, tukuheshimu usianze kwa kutusi watu

Amemaanisha Wachezaji Wengi wa KiTZ waliopo YANGA ni Legelege ukilinganisha na wa Zambia
 
Legelege ni fragile in English means not strong or sturdy, delicate and vulnerable.... Lwandamina ni mkombozi wa soka letu Miaka yote nilikuwa najiuliza kwa nini tunafungwa kila kukicha, kocha huyu kaja na mwarobaini. Wachezaji wetu ni legelege .hawachezi kwa nguvu inayotakiwa hata mashuti ni hafifu sana. Pata picha mtu kama Ajib angekuwa na ukakamavu zaidi Tanzania angekuwa anafanya nini (mfano tu) Makocha wengi wa kigeni ni njaa kali wanashindwa kusema mapungufu yetu kwa kuhofia kufukuzwa... Big up Lwandamina
 
Tutofautishe matusi na ukweli haisaidii chochote kujidanganya kuna mwaka timu ya Taifa ilikwenda brazil waqt wa maximo wale wakufunzi wa kibrazil wakauliza hii ni under 18? wakajibiwa shikeni adabu zenu hapa tumekomba kila kitu huko nyumbani.
 
Kwani uongo? Wachezaji wa Tanzania unaweza hata kuwafananisha na Wazambia?
Ujinga ni kuukataa ukweli.
Period
 
Back
Top Bottom