Legelege ni fragile in English means not strong or sturdy, delicate and vulnerable.... Lwandamina ni mkombozi wa soka letu Miaka yote nilikuwa najiuliza kwa nini tunafungwa kila kukicha, kocha huyu kaja na mwarobaini. Wachezaji wetu ni legelege .hawachezi kwa nguvu inayotakiwa hata mashuti ni hafifu sana. Pata picha mtu kama Ajib angekuwa na ukakamavu zaidi Tanzania angekuwa anafanya nini (mfano tu) Makocha wengi wa kigeni ni njaa kali wanashindwa kusema mapungufu yetu kwa kuhofia kufukuzwa... Big up Lwandamina
Tutofautishe matusi na ukweli haisaidii chochote kujidanganya kuna mwaka timu ya Taifa ilikwenda brazil waqt wa maximo wale wakufunzi wa kibrazil wakauliza hii ni under 18? wakajibiwa shikeni adabu zenu hapa tumekomba kila kitu huko nyumbani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.