Hakuna cha kocha wala nini...wachezaji watachezaje bila ya mishahara......niyonzima kadai walikuwa hawana motivation... Tuache kutegemea wafadhili tuongeze wanachama wafike 1m kila mwanachama alipe ada ya uanachama 5000 kwa mwaka inapatikana 5 bilioni... Wachezaji watafia uwanjani kuleta ushindi... Miungu watu watasepa...kweli timu inaenda kukaa kigamboni...
Hatuna imani kabisa na huyu lwandamina na tulimpinga toka siku ya kwanza kwakutoona sababu zakumtoa van.
Lwandamina Kama hapendi kuona maumivu ya mashabiki wa yanga nibora akaondoka atuachie timu yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.