Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 206
- 696
Huyu kocha jau mfumo wa back three hauwezi kukufikisha popote hatuna beki bora wa kuendana na mfumo,ona sasa tunapigwa kama ngoma.
Mechi tano tumefunga goli 10-tumefungwa 12 .
Martinez anaonekana sio kipa bora kumbe beki zinavuja.
Alonso out
Mechi tano tumefunga goli 10-tumefungwa 12 .
Martinez anaonekana sio kipa bora kumbe beki zinavuja.
Alonso out