haya majamaa hayanaga aibu. wapi changoja.
Mama Mdogo na wewe unamamboJamani ulipomtaja Mzee Chagonja ukanikumbusha hii drama inayomuhusu, ingawa ni kwa mbali:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-wa-chagonja-ndiye-aliyetapeli-mamilioni.html
Na kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.
Mama Mdogo na wewe unamambo
Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania lakini Serikali ya Tanzania haiko tayari ku-coorperate na Google kwa sababu hii crime inawahusu hata kama from proximityNa kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.
Senkyo vere mache!!!For those who need a rough idea of what metadata is: Metadata - Wikipedia, the free encyclopedia
Hivi kweli kuna mtu anadhani serikali ya Tanzania ikitaka kujua mtu aliyeiweka ile video YouTube itashindwa?
Kuna watu wako so illiterate na kompyuta wanadhani kuwa uki-uplaod video Youtube na ID feki basi huwezi kuwa tracked down.
Everything that people do on the Internet, including on YouTube, can be tracked down so easily. I mean everything.
Sioni ugumu wowote wa kum-track aliyeweka ile video.
Na kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.
Baadhi ya terms za YouTube
4.3 You agree that you will be solely responsible (to YouTube, and to others) for all activity that occurs under your YouTube account.
7.1 As a YouTube account holder you may submit Content. You understand that whether or not Content is published, YouTube does not guarantee any confidentiality with respect to Content.
7.6 You agree that you will not post or upload any Content which contains material which it is unlawful for you to possess in the country in which you are resident, or which it would be unlawful for YouTube to use or possess in connection with the provision of the Service.
Sehemu ya Privacy Policy ya Youtube
Information that we share
For legal reasons
We will share personal information with companies, organisations or individuals outside Google if we have a belief in good faith that access, use, preservation or disclosure of the information is reasonably necessary to:
- meet any applicable law, regulation, legal process or enforceable governmental request.
- enforce applicable Terms of Service, including investigation of potential violations.
- detect, prevent or otherwise address fraud, security or technical issues
- protect against harm to the rights, property or safety of Google, our users or the public, as required or permitted by law.
maana unaweza ukaongea kumbe ulilolisema ni la kupotosha na kumbuka waleta habari kwa rais ni binadamu walewale ambao ktk hii clip bado hatuna wa kumwamini.kwa kweli wengi wataumbuka..imeandikwa chunga sana ulimi...sometimes huwa namkubali sana jk anapopiga kimya kwenye mambo mengi nchini..inamsaidia sana
porojo nyiingi!kwa nini usiitumie hiyo metadata kuweka ukweli hadharani?
Mkuu ***,
Sizani kama wana usalamu wetu wana hayo maujuzi.....kama mzalendo, go and offer the assistance(even thru online) so as the mess can be cleared!
Mbona video za Osama bin Laden bado zipo huko alipokuwa anawachimba mkwara wamarekani.
mkuu kwani niki upload na kuvunja kila kitu nilichotumia, naharibu everything ikiwepo na kubadili location ya nilipokuwepo bado kunauwezekano wakunikamata!??Hivi kweli kuna mtu anadhani serikali ya Tanzania ikitaka kujua mtu aliyeiweka ile video YouTube itashindwa?
Kuna watu wako so illiterate na kompyuta wanadhani kuwa uki-uplaod video Youtube na ID feki basi huwezi kuwa tracked down.
Everything that people do on the Internet, including on YouTube, can be tracked down so easily. I mean everything.
Sioni ugumu wowote wa kum-track aliyeweka ile video.
Na kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.
hivi ile ya sheikh ilunga sio metadata!
alitafutwa na akafutiliwa mbali; same applied to this bukoba boy.
bora hata angedurufu cd tukajinunulia na kujitizamia vyumbani mwetu kama Darwin Nightmare ya mapanki. mshamba sana jamaa.