Lwakatare: Sina tatizo na Rais Magufuli, mimi ni nyani mzee

kwani kuna ubaya gani ukisifia na kukubali jitihada za mpinzani wako kama anafanya mazuri kwa wananchi?

wanasiasa mnapaswa kuwa sawa na makocha wa mpira wa soka,,kwa kawaida uwa hawakosi tambo ila kabla na baada ya mchezo ukiri na kusifia mazuri ya mpinzani wake mbele ya vyombo vya hbr so nanyi muige mfano huo,,SIASA SIO VITA WALA UHADUI BALI NI MKUSANYIKO WA MAWAZO CHANYA YA WACHACHE BILA KUJALI ITIKADI YA CHAMA WALA IMANI KWA MASLAI YA WENGI!!!
 
Uwa - huwa
Ukiri - hukiri
Uhadui - uadui
Maslai - maslahi

Wewe ni Mtanzania?
 
Kataa kutumika
Kataa kuwa Suruali la Mbowe
Jamaa kashtuka
Pole
Mkuu kuna cdm mbili ipo maslahi na wale wa itikadi kindaki ndaki Salary Slip namheshim na naamini yy ni cdm kindakindaki na sio maslahi na siamini hufarihishwa na cdm maslahi wanaomuona mbowe ni mungu mtu
 
Lwakatale, bottomline ni kuwa hata kama JPM anafanya mazuri, as long as anakanyaga katiba , anakanyaga haki za binadamu, anavunja sheria kisha anafunika dhambi kubwa kama hizo kwa "kumwonea" Mramba wa Tanesco na Mwele wa NIMR, and many others, this is not acceptable! Hivyo viduchu afadhali turudi kwa JK na ufisadi as long as we are free men in our free country!
 
Pamoja na yote huyu jamaa yuko tofauti sana na wale vijana waropokaji.

Niliifuatilia interview yake na Mahela juu ya Tetemeko na mambo mengine.

Ni muungwana sana hana mihemuko ya kijinga kama hawa vijana.
 

Hahaha
Bwana heri ya mwaka mpya nawewe
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli
Huo ndio ukweli
Ulitaka awadanganye !!!

Watanzania wanapaswa kubadilika
Mambo ya unafiki yalisha pitwa na wakati
Sasa ni saa za ukweli na uwazi.
Jana Magu aliongea ukweli
Hakuna kuficha kitu
Tatizo ni watu kuzoea mambo ya uongo na uzushi kuliko ukweli
 
>>>>> Chadema kunawaka moto.... Mbowe na Mashinji wamefuata ukimya wa Mnyika na Nasari...

Nauona Mwisho wa Chadema.
 
~~~~>>>> Mbona sioni harakati za Chadema ktk Uchaguzi mdogo¿¿¿ ... Wameishiwa pumzi¿¿¿
 
Kuwa smart hata kidogo wewe!! UKAWA wameamua kuto kumkosoa Mtakatifu John huku waki mpigia makofi wakati anajikaanga na mafuta yake mwenyewe kama Kitimoto. Inshort wame mtupia kamba ili ajinyonge mwenyewe.
Tatizo moja kubwa kwa style hii ni kwamba umma utawaelewa lengo lenu? kama hautawaelewa basi ujue mumekwisha japo ni style nzuri lakini si kwa siasa za tanzania. Wahasimu watatumia upenyo huo huo kuwa hata wao wanaunga mkono juhudi zetu. naomba niwe tofauti na mawazo yangu.
 
Ajikite kulisaidia jimbo katika ahadi zake majibizano hayatawasaidia wananchi ...tunamkumbusha atekeleze ahadi zake ikiwemo ule wa 'tushirikishane'
 
Ajikite kulisaidia jimbo katika ahadi zake majibizano hayatawasaidia wananchi ...tunamkumbusha atekeleze ahadi zake ikiwemo ule wa 'tushirikishane'
kuukanusha upotosha mapema ni muhimu zaidi. Lwakatare yuko sahihi kabisa
 
Propaganda machinery ya haya maCCM ni very primitive. Msg ni hiyo hiyo waliyosema imetolewa na Nasari.

Tuache yote watutajie fisadi mmoja tu aloyedhibitiwa au kufikishwa mahakamani awamu hii na akapatikana na hatia.

Inatuongezea hasira na chuki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…