Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kuwa Ndg Lwakatare wa CHADEMA ni mgonjwa na kalazwa.

Ndugu Lwakatare amelazwa toka jana na yupo hospitali ya Ndolage ya mjini Bukoba.

Taarifa zaidi, watu ndani ya CHADEMA watafafanua nini kinamsibu.

Thanks kwa info A licky boom boom down.
 
Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kuwa Ndg Lwakatare wa CHADEMA ni mgonjwa na kalazwa.

Ndugu Lwakatare amelazwa toka jana na yupo hospitali ya Ndolage ya mjini Bukoba.

Taarifa zaidi, watu ndani ya CHADEMA watafafanua nini kinamsibu.

M/Mungu ampe tahfif In shaa Allah
 
Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kuwa Ndg Lwakatare wa CHADEMA ni mgonjwa na kalazwa.

Ndugu Lwakatare amelazwa toka jana na yupo hospitali ya Ndolage ya mjini Bukoba.

Taarifa zaidi, watu ndani ya CHADEMA watafafanua nini kinamsibu.
Innaillah wainnaillah rajuun (Hakika sisi ni wa mwenyezi mungu na kwake ni marejeo)
 
Kwani kuugua kuna hesabiwa umeugua mara ngapi? Ugonjwa hauna hodi

Nadhani ungemuuliza yule raia anayesema kuwa, "hii ni mara ya pili kwa Lwakatare kuugua!" ndiyo nikamuuliza kwani ni mara ngapi mwisho mtu kuugua?
 
Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kuwa Ndg Lwakatare wa CHADEMA ni mgonjwa na kalazwa.

Ndugu Lwakatare amelazwa toka jana na yupo hospitali ya Ndolage ya mjini Bukoba.

Taarifa zaidi, watu ndani ya CHADEMA watafafanua nini kinamsibu.

Ni kweli alilazwa jana. Tatizo ni kuwa Sukari ilipanda kiasi, alilazwa Ndolage Town Clinic ya Bukoba mjini na sio ile ya Kamachumu maana ziko mbili. Kuna ya Kamachumu na ile ya Bukoba Mjini. Nimeongea na Mwenyekiti wa CHADEMA bukoba mjini muda huu amesema atakuwa discharged muda huu. Binafsi nilikuwa field ndo narudi Bukoba mjini. Msiwe na hofu. Mwenye kutaka namba yake ili ampe pole naweza kumpatia maana iko wazi. Asanteni
 
Lwakatale wa CUF aliyeshindana Mujuni mwaka 2000 na huyu wa sasa ni tofauti kabisa.Huyu wa sasa abaki tu na shughuli za ndanı ya chama.Ubunge ni kazi moja ngumu,ina presha kubwa na inayovuruga sana akili na hisıa.Kwa wanaomjua Lwakatale wa 2000 akipambana Tumainieni Kiwelu watakubaliana nami.
 
Back
Top Bottom