mahalipema
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 120
fahamu ni gazeti la wasioitakia mema cdm ila wamesaidia kuieleza cdm wana vrus @vbarakaAmetoa wosia mzuri kwa wanachama kuepuka unafiki kwa maendeleo ya CHADEMA!
kama kweli cdm mnania ya kuchukua nchi nilazima muwe wamoja otherwise mtakua wasindikizaji tu.
CDM wamezidi sana kila kukicha hawaishi kulalamaHawa wanasiaasa wanatuchanganya sana.
Sasa kama alishazungumza na Mbowe kuhusu unafiki ndani ya chama, kwanini aende kulizungumzia hilo tena kwenye mkutano wa hadhara? Au viongozi wa juu wa chama hawaelewani?
Kweli, kufikia ukombozi wa kweli ni mission.
CHADEMA imekuwa kama serikali ya CCM, viongozi wa juu wote chamani wanalalamika; Zitto analalamika, Lwakatare analalamika! Sasa nani atachukua hatua?
Hawa wanasiaasa wanatuchanganya sana.
Sasa kama alishazungumza na Mbowe kuhusu unafiki ndani ya chama, kwanini aende kulizungumzia hilo tena kwenye mkutano wa hadhara? Au viongozi wa juu wa chama hawaelewani?
Kweli, kufikia ukombozi wa kweli ni mission.
CHADEMA imekuwa kama serikali ya CCM, viongozi wa juu wote chamani wanalalamika; Zitto analalamika, Lwakatare analalamika! Sasa nani atachukua hatua?
Fahamu ni gazeti la CUF na Mhariri ni Mtatiro sasa unategemea liandike vipi?
CUF = CCM (FAHAMU=UHURU)
kwa hiyo walichonadika ni sawa
Ukiona hivyo anajiandaa kugombea ubunge huko kwao.
atakuwa anamsema Zitto tu si mwingine manake yule dogo uswahiba wake na magamba unatia shaka sana
Kwani alikuwa hajui hilo,hata yeye naye ni mnafiki tu.