Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Mkuu,
Hii ni kesi ya chama. We angalia mtiririko tu wa events ujue. Lakini wasichojua CCM ni kwamba walipolalia wao Chadema ilishaamkia hapo siku nyingi.
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Pole kwa fikra ya namna hiyo!Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Ungekuwa Pro-Chadema ingeelewa! Ni muhimu sana kufanya hivyo!Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Wewe na Pasco ni watu wajinga! Kadiri mnavyokazania kusema Chadema imtose ndivyo mnavyowafanya wazidi kumuunga mkono. Unaona sasa kuna mawakili wangapi? Na bado mtashangaa kwa msaada na fedha atakazochangiwa na kupewa!Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Wewe na Pasco ni watu wajinga! Kadiri mnavyokazania kusema Chadema imtose ndivyo mnavyowafanya wazidi kumuunga mkono. Unaona sasa kuna mawakili wangapi? Na bado mtashangaa kwa msaada na fedha atakazochangiwa na kupewa!