Kuna Dr. Lwaitama na doctor mwingine fulani hivi jina limenitoka pamoja na Makwaiya wa kuhenga channel ten, wanajadili hapa kuwa Israel inatenda makosa ya "mauaji ya kimbari", huyu ni doctor (phd holder) na huyo mwenzie, nilichojiuliza ni kwamba hivi hajasoma tu hata kwenye wikipedia maana halisi ya genocide?, halafu, hivi kipindi cha je? tutafika cha makwaiya mbona kina harufu sana ya udini fulani hivi siku zote, au ndio channel ten kazi zake?
sisemi wapalestina wanaouawa ni sahihi, ninachoangalia hapa ni kama kuna mtu katoka nje ya nchi anaangalia wasomi wa kitz wanaojadili suala hili halafu wanasema hiyo ni genocide, wakati hakuna hata elements za genocide, labda angesema hizo ni war crimes au mauaji ya halaiki/dhidi ya ubinadamu....sijaelewa wameweka kipindi ili kuponda israel au kuongea hoja.
huyo Dr mwingine ndio anasema waisrael/wayahudi ni wazungu tu walitoka ulaya na nchi nyingine, na anawaita mayahudi sio wayahudi....very hopelss kama wametoka leo kijijini vile.
wanauawa kwasababu wanarusa rocket.mbona hauongelei rocket kurushwa israel, na unataka nisapoti hamas? hivi unafikiri kila mtu ni mtumwa wa waarabu? hautakaa uelewe adi dunia inaisha utabaki hivyohivyo.JAMAA WE NI BONGE LA KILAZA....ukishajadili huu mgogoro kwa mwitikio wa imani yako "Religious fanaticism" kama unavyofanya hapa ....utakaa uelewe kitu...toa uharo wako hapa tushachoka...
watu wanauana unakenua mano...
wanauawa kwasababu wanarusa rocket.mbona hauongelei rocket kurushwa israel, na unataka nisapoti hamas? hivi unafikiri kila mtu ni mtumwa wa waarabu? hautakaa uelewe adi dunia inaisha utabaki hivyohivyo.
wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.Bible na kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948 kipi kilianza, kama ni kitu kilichoundwa baada ya vita ya pili ya dunia Bible nayo iliandikwa miaka hiyo na kuongelea taifa la israel?
jiulize kwanini wanarusha maroketi.wanauawa kwasababu wanarusa rocket.mbona hauongelei rocket kurushwa israel, na unataka nisapoti hamas? hivi unafikiri kila mtu ni mtumwa wa waarabu? hautakaa uelewe adi dunia inaisha utabaki hivyohivyo.
jiulize kwanini wanarusha maroketi.
Hayo maroketi kwa miaka yote yanatumika as a way of expressing disatsification.
Maroketi yenyewe ni homemade hayana hata uwezo wa kuangamiza ni symbol ya resistance.
kwanza mkuu ujue wale watatu walitekwa hebron sio gaza.in case hujui gaza iko mbali upande wa pili toka hebron ambayo iko westbank.Nini chanzo cha vita hii mkuu kama wewe ni mfuatiliaji wa habari hizi? wale watoto watatu wa israeli nin i kiliwatokea?
Na kwanini hamas amekuwa akirusha rockets kwenye makazi ya wayahudi?
Nikurudishe nyuma kidogo,kumbuka Sharon aliwahamisha waisrael watoke gaza ili kuwaachia wapalestina ardhi yao kama wanavyodai,Hamas ikaanza kupigana na esbora vita ile iliua wakazi wa gaza zaidi ya 1000,sharon alipoachia ngazi wayahudi wakayatwaa makazi yao tena,sasa nauliza hao watu 1000 waliouawa walikuwa watu wazima tu au na watoto?
Mkuu Mungu wa aina hiyo ni teja, kwa akili ya kawaida unapomzungumzia Mungu maana yake unahubiri Upendo na Amani, sasa huyo Mungu wa Israel naamini atakuwa anavuta BANGI kwa maana anawaruhusu hao jamaa kuhukumu wakat vitabu hivyo vinatukataza kuhukumu, na Mtoa hukumu ni yeye peke yake hajakasimisha madaraka ya kiumbe yeyote. Labda nielimishwe zaidi
Basi mkuu tusubiri vifo zaidi maana hamasi wanaanza kurusha rockets hata kabla ya truce iliyopangwa kuisha,kuonyesha walivyo na usongo wa vita.Kama wao hawana uchungu nawake zao na watoto wao cc inatuuma nini?kwanza mkuu ujue wale watatu walitekwa hebron sio gaza.in case hujui gaza iko mbali upande wa pili toka hebron ambayo iko westbank.
Mbaya zaidi israel walitaka kulaumu westbank kwa utekaji.
Westbank wakapoint kwamba utekaji umefanyika area A ambako iko chini ya israel na usalama wake uko chini ya israel,kwahiyo ishu ya mateka haikuwa chanzo.
Pia ujue hezbullah sio wapalestina ni walebanon,na wala vita ya hezb na israel haingiliani na hamas.
Hao 1000 sijajua unawasemea wapi,ila vita kati ya israel na hezb ya mwaka 2006,israel waliua watoto na wanawake wengi sana vilevile.
Ndo maana israeli kapiga makanisa,kapiga misikiti na kapiga shule za UN,kazi yake ni kuangamiza kila sehemu yenye tunnels zinazomhujumu,hapo hakuna uislam au ukristo,hapa issue ni kama huna nguvu ukamchokoza mwenye nguvu tegemea kichapo kwako wewe,mke wako watoto na kuku period. Yaani kashengo kashai.Nimegundua kitu hapa JF kuna mambo mawili hasa linapokuja suala la mgogoro wa Israel na Palestine
- kuna watu "udini" ndio hoja yao yaani kafumba macho kaziba masikio ila deep inside anajua kuwa Palestine wana haki ya ku resist kwani wana haki ya kuishi...ila UNAFIKI unafanya kazi kwenye keyboard na keypad yake
- kuna watu wengine wanajadili kwa mlengo wa kisiasa zaidi na humanitarian grounds kuwa ile ni "Occupation na huyu mmoja kamkalia mwenzie na hana haki yoyote na amemzingira kila kona...kumuua ili amtishe aache kubisha...
- wengine hawajui historia wala geografia ya huko wanakojadili kukoje wao ni bendera fuata upepo...
so makudndi mawili ya mwanzo hapo juu yanasuguana...mantiki ya kuusisha huu mgogoro na maandiko ya biblia na ukitizama hali halisi kwa mambo yanayofanyika kama una akili timamu ni bora unyamaze tu au uongee ushabiki wako uungwe mkono na mashabiki wenzako
huyu mleta mada sijui kama hata anajua kuna waarabu wapalestina wakristo wenzake kule GAZA wanaangamia...???
yaani ni shida sana...
Explosion kills Christian in Gaza as faiths unite in strife, Ecumenical News
Mbona hapa kwetu polisi walikuwa wanawakamata wenye mabomu ya petrol nayo si ni home made.jiulize kwanini wanarusha maroketi.
Hayo maroketi kwa miaka yote yanatumika as a way of expressing disatsification.
Maroketi yenyewe ni homemade hayana hata uwezo wa kuangamiza ni symbol ya resistance.
Ndo maana israeli kapiga makanisa,kapiga misikiti na kapiga shule za UN,kazi yake ni kuangamiza kila sehemu yenye tunnels zinazomhujumu,hapo hakuna uislam au ukristo,hapa issue ni kama huna nguvu ukamchokoza mwenye nguvu tegemea kichapo kwako wewe,mke wako watoto na kuku period. Yaani kashengo kashai.
Bible na kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948 kipi kilianza, kama ni kitu kilichoundwa baada ya vita ya pili ya dunia Bible nayo iliandikwa miaka hiyo na kuongelea taifa la israel?
sasa wenzako na watu wengine wanajua kuwa waarabu woote huwa ni MUSLIMS...ndio maana wanakenua meno kumbe wakristo wenzao nao huko wanakipata kilichomtoa kanga manyoya....
hivi hivi ushabiki wa vita vya Iraq...leo watu wamekuja kushtuka kuwa kumbe mji wa MISOUL kuna wakristo?
miafrika kazi sana.....
tunnels ziko 1,357 kama sikosei...na watu wamezingirwa sasa ulitaka wapitie wapi? kama sio Ardhini?
nilichotaka kuonyesha hapa ni kuwa roket inatumika as symbol of resistance,na wanaoyarusha wanajua kuwa uwezo wake wa kuarchiave direct hit ni mdogo sana.japo najua wangekuwa na silaha kubwa wangezitumia kwani wanaresist occupation na njia ya mazungumzo imefeli.Mbona hapa kwetu polisi walikuwa wanawakamata wenye mabomu ya petrol nayo si ni home made.
silaha ni kitu chochote chenye uwezo wa kumdhuru mtu si lazima kiwe kimetengenezwa kiwandani.
wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.
Hapa unadhani watu wangeshindwa kweli ku edit na kuweka mambo yao?
ahsante mkuu, umejibu vyema. Kiongozi wa Hamas ni raia wa Qatar, rais wa Palestina ni mzaliwa wa Misri