Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?


Mkuu hebu jisomee hiyo information kama itakusaidia .
 
Unaposema wangetaka wangepiga bomu moja tu wakateketeza wote,hivi unajua mabomu kilo milioni ngapi yameporomoshwa gaza?.
Ama unasemea nuclear?.
Nyuklia licha ya madhara ya mlipuko pia ina radiation.israel haiwezi kuwapiga wapalestina nuclear kwani nao wataathirika.ujue eneo hilo ni karibu karibu kama kutoka posta kwenda ostabei ama masaki.
 
wasio taka wapalestina wasiwe na nchi yao wenyewe ni wapalestina wala si wayahudi. wapalestina wanasema wanataka ardhi yote ile na wayahudi warudi ulaya. kuhusu kuua watoto wadogo, angalia clip hapo juu inayoonyesha hamas wanavyowateka watoto wa kipalestina na kuwaweka eneo la vita ili wakiuawa dunia ione huruma na kusema israel inaua watoto. hivyo ndivyo walivyofanya hata kwenda kwenye ile shule ya umoja wa mataifa. na hiyo ni mbinu mojawapo ya kivita hamas wanatumia. genocide haipo ndio maana hata human rights watch na kitengo cha human rights wamejitahidi kutafuta kosa wakasema litakuwa ni war crimes tu, ambalo nalo wameshashindwa kuthibitisha kwasababu ya video nyingi zilizoonyesha hamas wanatumia human shield. kama hamas wangekuwa hawatumii human shield, israel ingeshakuwa responsible kitambo.
 
nimesema kama lengo lao lingekuwa ni kuwateketeza basi wanao uwezo kuwateketeza mara moja, lengo lao si kuwateketeza wala kuua raia ndio maana hata hao waliokufa ni collateral damage za kawaida tu ambazo ziko expected vitani. na ni kwasababu hamas wametumia raia kama shield. ni sawa na mtu anakuchoma kisu wewe ukitaka kumrudishia anabeka kitoto anajikinga nacho na bado anaendelea kukuchoma, utafanyeje? utamwacha aendelee? akuue kabisa na unaona kabisa lengo lake ni kukuua ila ukitaka kujitetea umpige anajikinga na kitoto.utafanyeje ili upone wewe na watoto wako anaowateketeza?
 

mkuu umenena vyema.
 
Mkuu hebu jisomee hiyo information kama itakusaidia .
yap, it was created as jewish state kwani walikuwa wanarudi kuunda tena taifa lao lililokuwa limesambaratika kwenye ardhi ambayo Mungu alikuwa amewapatia iwe yao milele. cha muhimu hapa ni ushahidi tu kwamba je? ile ardhi ni ya waisrael au wapalestina? nenda israel kaangalie kuna mejengo yaliyojengwa kipindi cha ufalme wa israel hadi leo yapo, hadi makaburi yao yapo. makaburi ya absalom mtoto wa daudi mfalme wa israel, makaburi ya daudi, makaburi ya mariam etc
 
Nami nilidhani israeli wanakosea kufanya operation hiyo,walipooonesha handaki zilizojengwa makanisani,misikitini hata kwenye majengo mengine ya public na mashule ili kuhihujumu israel nikakubaliana nao kwamba katika kuangamiza hayo maandaki,yeyote anayeruhusu nyumba yake itumike kuihujumu israeli anajitangazia vita na israeli na ni mfuasi wa hamasi.
Kama hao ni wasomi waanze kuishauri hamas isifanye hujuma dhidi ya israeli then kama watavamiwa ndo mataifa yajadili.kinyume na hapo wote tukae kimya tuwaachie israeli na hamas wapigane atakayechoka atanyosha mikono juu.
Mbona huyo makwaiya hajaweka mdahalo kuhusu kashmir na syria au huko wanaouwawa ni mawe?

Na issue ya kuua watoto,vita haina macho,Idd Amini alipovamia Bukoba mwaka 1978 watoto wengi kule missenye na minziro waliuawa,tena kikatili kwavisu n.k,kwani tunasema watoto ni taifa la kesho.Kadhalika mtoto wa gaidi ni gaidi la kesho.
 
suala la watoto kutekwa ni propaganda.

Wapalestina ni watu ambao wako so educated kiasi kuwa jambo kama hilo haliwezi kunyamaziwa.hakuna mtoto anafanywa ngao hapo gaza.idadi ya watoto wanaokufa ni wengi kwasababu 50% ya wakazi wa gaza ni watoto chini ya miaka 16.
Asilimia 70 ni vijana chini 25 years.kwahiyo population ya watoto iko so high.pia hakuna haja ya kufanya mtoto ngao wakati mabomu yalikua yakipigwa gaza yote kwahiyo kila mtu alikua hatarini ngao ama bila ngao.
Lengo la israel ilikua ni kuarchiave as many killing as possible ili kuwatisha palestina wasi resist tena.na hii ndo maana hakuna kitu wameachiave zaidi ya kuua watu na kubomoa majumba.
 
Kuua ni kuua tu hakuna cha wikipedia kwenye kuua. Pia wayahudi na mayahudi. Hakuna Mungu aliyeteua watu ili eti waue eti waue watu wengine.
 
hapo kwenye red jirekebisha kabla sijakushushua. hawana shule kwasababu ya maugomvi kama hayo. waarabu hata hivyo shule kwao sio priority. pili, kama lengo la israel lilikuwa ni kuachieve killings, i tell you they could have killed all of them in gaza. kuhusu kuteka waisrael kuwa ni propaganda, inaonyesha kuwa hauwajui hamas, haufuatilii news na unawaza mlengo mmoja tu hivyo you are not worthy to argue na mtu. bye.
 
vita haina macho inakuaje hamas wameua askari wa israel lakini israel wameua watoto wakati israel wana technology ya kutumia precision attack?.

Wapalestina kuchimba underground tunnels si ndo resistance yenyewe ama hujui kuwa ni occupied territory?.ulitaka walale tu wakati wanaminywa uhuru wao?.
 
wewe unawajua hamas?.ama unachangamsha genge?.

Education in the
Palestinian territories
Islamic University of Gaza
Education in the Palestinian
territories refers to the
educational system in Gaza and
the West Bank administered by
the Palestinian Ministry of
Education and Higher
Education.[dubious ] Enrollment
rates amongst Palestinians are
relatively high by regional and
global standards. According to
a youth survey in 2003, 60%
between the ages 10–24
indicated that education was
their first priority. Youth literacy
rate (the ages 15–24) is 98.2%,
while the national literacy rate
is 91.1%[1]
Education System
There are three types of
schools from perspective of
gender in the Palestinian
territories: boys’ schools (37%),
girls’ schools (35%), and co-
educational schools (29%).[2]
In the Palestinian territories
education system, compulsory
basic education includes
Grades 1 to 10 and this is
divided into the preparatory
stage (Grades 1 to 4) and the
empowerment stage (Grades 5
to 10). Secondary education
(general secondary education
and a few vocational secondary
schools) covers Grades 11 and
12. In tertiary education, there
are 11 universities (10 private
and one public) and 11
technical colleges (4 Palestinian
Authority, 2 UNRWA, 4 public
and 1 private), all of which
mainly offer four-year courses.
Additionally, there are 19
community colleges (1
Palestinian Authority, 9 public,
2 UNRWA, and 7 private) that
mainly offer two-year diploma
courses in technical and
commercial specializations.[3]
The first refugee camp schools
for were established by the Red
Cross in 1949.[4] First UNRWA
elementary six-year schools
befun in 1959-60 school year.
[5] UNRWA schools offer
Grades 1 to 10 and do not
provide secondary education
(Grade 11 and 12). UNRWA’s
education provision has played
a major role in Palestinian
territories education since
1967[6]
Even if students in Grade 1 to 3
do not achieve well, they are
not to repeat a grade at that
level by the ministry policy.
However, students in Grades 4
to 12 are to repeat by the
ministry regulations (maximum
of 5 percent of a class cohort),
which is based on the students’
total average achievement
score for a year. There is no
remedial teaching for the
students nominated to repeat
during their repeated year.[7]
Education Management
University College of Applied
Sciences
The Ministry of Education and
Higher Education (MOEHE) was
first established and took
responsibility in 1994. (MOEHE
website) In 1996, the MOEHE
was divided into two separate
ministries: the Ministry of
Education and the Ministry of
Higher Education, and these
two ministries were merged
again to become the MOEHE in
2002. (Nicolai 2007) The MOEHE
has a responsibility for the
whole education sector from
pre-primary to higher
education and for recruiting
and training teachers as well.
The MOEHE works as the liaison
on training issues with the
education directorates.
(Mustafa and Bisharat 2008)
The MOEHE is also in charge of
managing governmental
educational institutions and
supervising private educational
institutions and institutions run
by UNRWA.[8]
Education in Palestinian
territories is centralized in
regard to its curriculum,
textbooks, instructions, and
regulations. The administrative
structure of the general
education is composed of 22
fields’ directorates (districts
offices) of education, including
16 in the West Bank and 6 in
Gaza[9]
 
percentage ya palestin joing univercity is regionaly and globoly high.
 
hahaha, msikie huyu naye, yaani huyu ndio hata hajui kinachoendelea. what do you mean occupied territory? nchi ambayo inatambuliwa na umoja wa mataifa, ni member wa UN wewe leo unakuja kusema ni occupying state, unafikiri hata siku moja mtakuka kuwaondoa warudi ulaya na marekani? je? palestina inatambuliwa na UN kama nchi? halafu zile tunnel unafikiri kweli ni za resistance au lengo lao ilikuwa ni kuteketeza wayahudi....badala ya kujenga shule na hospitali wao wanajenga tunnels, badala ya kinga raia wao wawawaweka raia mbele kama ngao ili wafe waonewe huruma na dunia na lawama iende kwa waisrael, badala ya kupeleka raia kwenye mahandaki wao wanapeleka silaha kwenye mahandaki...ajabu yake ni kwamba kule israel kuna makazi ya chini rocket zikiwa nyingi raia wanakimbilia chini wanalindwa....umeona tofauti ya terrorists na watu wa kawaida?
 
that is not the case,hata wangoni wameacha makaburi ya babu zao africa kusini lakini haiwapi haki ya kurudi huko kudai ardhi.

Azimio la balfour lilikta azimio la kitapeli na ndo lileta vita na mambo haya mpaka leo hii.karudie kusoma tena declaration ya balfour uone jinsi utapeli ulitumika kuisimika israel mashariki ya kati.
 
naona unabisha kishabiki sana,dunia nzima inajua kuwa palestina is an occupied territory na ndo maana kuna maazimio mengi ya UN against israel na mara nyingi marekani hutumia kura ya veto kuikoa israel.

Kinachoshindwa kukuelewa wewe ni kua unabisha out of ignorance ama ni ushabiki wa kile unachokiamini,wataalamu huita israel asskisser.
 
tofautisha wangoni na wayahudi. wayahudi ile ardhi walipewa na Mungu specifically kabisa, ndio maana hata kipindi wameenda uhamishoni misri walirudi tena pale na kuwakuta wafilisti wakawapiga na kuchukua nchi yao. mungu aliwapa wayahudi ile ardhi kwasababu wao tu Ibrahim NDIYE ALIkuwa anamwabudu yeye Mungu wa kweli n ilikuwa ni zawadi. hakuna taifa lingine duniani lilipewa ardhi maalumu ila israel tu. sisi wengine tuliambiwa tu twende kukazaliane huko duniani ila waisrael waliambiwa wakae pale wamepewa ile ardhi. hata hivyo I am happy unakiri kuwa pale israel kuna evidence zote kuwa waisrael walikuwa wanakaa pale ila walienda uhamishoni kwenye mataifa mengine. sasa si wamerudi kwao jamani?
 
kuhusiana na azimio la balfour, unachotakiwa kujua ni kwamba, ugomvi huu haujaanza leo, ulianza hata kabla ya Yesu kuzaliwa. kipindi wanatoka misri na Musa, Musa alipokufa jangwani aliyepewa kuongoza waisrael kwenda pale walipo ni Joshua na Kaleb. Mungu aliwaambia hawa vijana wawili kuwa mkifika kule muwapige kabisa wale wakazi wa pale na mchukue nchi. wao walipofika pale holy land wakawapiga lakini wakaona kuna wanawake wengine wazuri wakawaacha na wakaingia mkataba na wafalme wa kifilisti kuwa wasiwaue ila wao wafilist wawe chini ya wayahudi na watawatumikia. Mungu alichukia akawatabiria kuwa 'hao mliowaacha watakuwa mwiba kwenu maisha yenu yote". hili lipo kwenye Biblia ukitaka nitakufunulia kifungu.

walipoendelea kuishi pale tangu enzi na enzi hadi kipindi cha mfalme sauli na Daudi, utakumbuka walikuwa wakipigana vita na wafilisti kila wakati. hizo roho za hamas na hezbolah hazijaanza leo. unakumbuka issue ya Daudi na Goliath mfilisi? ndio walikuwa wapelestina hao....tena hata Bible imeeleza kabisa kuwa wafilisti walikuwa wanakaa gaza. goliath alikuwa mtu wa gaza. ila katika yote Mungu aliwapigania waisrael na ataendelea kuwapigania hadi kesho. you will never wipe them out.
 
kama dunia nzima inajua kuwa palestina is an occupied territory then why does the UN recognize israel as legitimate state/its member state? and palestine is not member of the UN? halafu, hivi mauaji ya syria yaliyoteketeza watoto maelfu na maelfu mmeona ni madogo kuliko hayo yaliyofanyika na israel anapojilinda na hamas? au shida yenu ni israel tu kama mnavyowaita "mayahudi'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…