Luxury Nyumba inahitajika(Kununua)

Luxury Nyumba inahitajika(Kununua)

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,006
Reaction score
10,398
Nyumba iwe na
4 to 5 bedrooms
Swimming pool is an advantage
Big yard
Potential Area
Budget ranges from Tsh:400m to 600m

Owners only

Possible viewing mid of July

Locations: Dar na Tanga only Raskazone tu kwa Tanga.

Mnunuzi ni my friend from abroad ambae Zanzibar kuna some options ambazo ninazo na nimemtumia,then alitaka extras options mainland kama terms za ununuzi Zanzibar zitambana

Nime attach sample ya nyumba yake aliotuma,so iwe bora zaid au almost similar
 

Attachments

  • IMG-20180701-WA0053.jpg
    IMG-20180701-WA0053.jpg
    117.3 KB · Views: 48
  • IMG-20180701-WA0052.jpg
    IMG-20180701-WA0052.jpg
    131.1 KB · Views: 42
  • IMG-20180701-WA0051.jpg
    IMG-20180701-WA0051.jpg
    106.2 KB · Views: 44
  • IMG-20180701-WA0050.jpg
    IMG-20180701-WA0050.jpg
    92.5 KB · Views: 42
  • IMG-20180701-WA0049.jpg
    IMG-20180701-WA0049.jpg
    92.4 KB · Views: 43
Ila wenye hela zao wanafaidi jamani,utafikiri hawafi au watazikwa hewani...!!!
Hahaha
Unajua wapo watu wazee wao waliteseka sana,na wakawejeza,sasa wao wanakuta na kuendeleza.
Na wapo watu maisha yao ukiona ni ya kawaida sana,ila wamewekeza sehem mbalimbali na hawana mbwembwe.
Sio kila biashara yenye mtaji mkubwa ndio inatija,wapo wanabiashara ndogo ila income nzuri.
Sie tatizo ni kwamba changamoto ndio mchawi wetu
 
Mkuu za lugumi,majanga yale.Usije kununua ukawa hulali.
Nyumba za minada ogopa sana.
Mnada mzuri ni wa nguo tu
Nyumba iwe na
4 to 5 bedrooms
Swimming pool is an advantage
Big yard
Potential Area
Budget ranges from Tsh:400m to 600m

Owners only

Possible viewing mid of July

Locations: Dar na Tanga only Raskazone tu kwa Tanga.

Mnunuzi ni my friend from abroad ambae Zanzibar kuna some options ambazo ninazo na nimemtumia,then alitaka extras options mainland kama terms za ununuzi Zanzibar zitambana

Nime attach sample ya nyumba yake aliotuma,so iwe bora zaid au almost similar

Kama unasubiri Mmiliki Wa Nyumba ya bei hiyo mfanye naye biashara bila MTU Wa kati utasubiri sana. Mala nyingi sana watu wanaouza Mali zao zenye bei kubwa huwa wanawakabidhi ma agents wawatafutie Wateja Wa hizo Mali zao
 
Back
Top Bottom