Luteni Makamba:Kaburi la CCM

Hivi mzee ana level gani ya elimu? I know he used to be a primary teacher back 20 years, sasa sijui alijiendeleza kielimu au la?
Kama kuna mwenye CV ya dingi aiweke jamvini? I think dogo wa Bumbuli could be of assistance.

Wakikujibu hilo then waulize je kwa nini alitoka nduki kwenye uteacher?
 
Bora umeuliza swali Zuri maana kuna vyeo Vingi sana hapo kwenye kufika cheo cha Uluteni sasa bwana Lole ebu tuambie hao wengine wapo wapi?

Cheo cha Leutenant katika jeshi ni cheo kidogo sana.Ni cheo cha uofisa wa awali kabisa katika jeshi.
Luteni hawezi kabisa kuaminiwa kuongoza kikosi(division).
Leo luteni anaongoza taasisi nzito na nyeti kama chama tawala.
Ndio maana nilisema huyu luteni Makamba siyo strategist, si planner wala si political analyst au administrator wa aina yoyote ile mwenye utendaji uliotukuka.
Kufikia nyadhifa hizo jeshini inabidi ingalao uwe kwenye Uluteni Kanali na kwenda juu.
Luteni Makamba hajaonyesha dalili zozote za kiutendaji unaopendeza katika chama.Uswahili mwingi kuliko proffessionalim.
Matokeo yake sote tunayaona.
 
Si alifukuzwa ualimu huyu? Nakumbuka dr. Slaa alitishia kumuumbua na alifyata! Hivi alifanya nini mpaka akatimuliwa au alilawiti mwanafunzi huyu? Maana amekaa kifirajifiraji hivi hikli baba fataki el laanat!
 
I do not think Makamba created EPA, RICHMOND, DOWANS, na utekelezaji wa kichovu wa serikali iliyopita. He was dealt a bad hand, and CCM cruised to a nice victory in the past election.

Also, just being curious naona kuna 3 Makamba related topics in front page of Jukwaa la Siasa. I've said in the past and I will say again, this place is obsessed with everything Makamba. Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
 
''Lazima tukumbuke kuwa kwanza Luteni ni cheo ambacho ni cha platoon commander, luteni anaongoza watu si zaidi ya 12.'' Umeongea mengi yapo mazuri ambayo yanaonesha picha ya Makamba lakini hapo kwenye cheo cha Luteni anaongoza watu 12 u r wrong usiwapotoshe watu.

Tafuta wakati uwaulize au fanya uchunguzi kabla ya kutudanganya!
Ingekuwa vyema ukasema anaowaongoza ni wangapi kuliko kukosoa bila data...
 
CCM ishakufa kimebaki ni kikundi cha Deep Green na wanajijua, when they decide something it's done
 
I do not think Makamba created EPA, RICHMOND, DOWANS, na utekelezaji wa kichovu wa serikali iliyopita. He was dealt a bad hand, and CCM cruised to a nice victory in the past election.

Also, just being curious naona kuna 3 Makamba related topics in front page of Jukwaa la Siasa. I've said in the past and I will say again, this place is obsessed with everything Makamba. Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.

CCM must be a party of good political morality.
Siyo siri kuwa vinara wa wizi wote wako ndani ya chama.Kwamba hawajahukumiwa na mahakama siyo sababu ya kutowatema.
Kutokana na nguvu ya pesa yao ambayo sasa imesafishwa na kutokuwa haramu tena, wanafanya wapendavyo katika jamii.
Watu hawa wanaua na kugonga wananchi bila woga wa sheria, wanasafirisha pesa kama njugu, wanawaangusha kama wapendavyo wale wote wanohisi kuwaumbua katika jamii.
Na wote hawa ndio vinara wa CCM, chini ya luteni mstaafu Makamba!
The good thing is , wananchi know better na usije ukajisahau kuwa CCM si mtu , ni wazo la maendeleo.
Wazo hilo likipotea hakuna CCM, itabaki kuwa kama idara ya serikali!
 
Jamaa atapigwa CHini, probably atapewa ukuu wa Mkoa then CHiligati anapewa hiyo post, ndo maana hayupo kwenye Baraza la Mawaziri
 
Bora umeuliza swali Zuri maana kuna vyeo Vingi sana hapo kwenye kufika cheo cha Uluteni sasa bwana Lole ebu tuambie hao wengine wapo wapi?
Sajenti major, Corporal, Sajenti hawa siyo Maafisa wa kijeshi bali na askari wa kawaida wenye rank zisizo na mamlaka ya kiutwala ktk jeshi, Afisa ni kuanzaia Luten
 
Si alifukuzwa ualimu huyu? Nakumbuka dr. Slaa alitishia kumuumbua na alifyata! Hivi alifanya nini mpaka akatimuliwa au alilawiti mwanafunzi huyu? Maana amekaa kifirajifiraji hivi hikli baba fataki el laanat!
Leo kuna waziri amekiri kupigwa tui na fataki miaka ya themanini akiwa mwanafunzi asijekuwa ndo mzee wetu Yusuf????
 
Ni kweli Ukiongozwa na kipofu wote mtapotea kama CC Wanakoelekea mwisho wao umefika. Dalili ya mvua ni mawingu.
 
I do not think Makamba created EPA, RICHMOND, DOWANS, na utekelezaji wa kichovu wa serikali iliyopita. He was dealt a bad hand, and CCM cruised to a nice victory in the past election.

Also, just being curious naona kuna 3 Makamba related topics in front page of Jukwaa la Siasa. I've said in the past and I will say again, this place is obsessed with everything Makamba. Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.

Hahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Makamba ni tunda ...................Hahahahahaha..............Usinifanye nife na kicheko....................hahahahahahahahahahah.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Matukio ya Uchaguzi mkuu na uteuzi wake wa baraza la mawaziri ni kielelezo tosha juu ya kugutuka huko." Yaani wewe!! Unatia kichefuchefu! Yaani hili baraza feki la mawaziri ndo kipimo chako cha kugutuka kwa huyo JK wako????!! Watu wakigutuka huwa wanaacha uozo na kufuata mema! Huyo JK wako hajagutuka wala nini!! Muda wa "adakadabla" (mazingaombwe) umekwisha! Hatudanganyiki!
 
Wakati ninyi mnamjadili na kumlaani Makamba.
Mimi namshangaa aliyemteua. Inawezekanaje mtu mwenye akili timamu achague embe bovu kwa chakula cha mchana???
Aliyemteua ndiye bomu zaidi ya mteuliwa.
 
udini udini udinh udini mwanangu herii herii mtangulie peponi muiache TZ yenye watu poor but happy!

Huyo Kereng'ende mwenyewe utakuta alikuwa CCM isipokuwa uchaguzi huu kahamia Chadema baada ya kusoma Mwongozo wa Kanisa!
 
Wakati ninyi mnamjadili na kumlaani Makamba.
Mimi namshangaa aliyemteua. Inawezekanaje mtu mwenye akili timamu achague embe bovu kwa chakula cha mchana???
Aliyemteua ndiye bomu zaidi ya mteuliwa.

Lingekuwa embe bovu basi msingehangaika kuliandikia makala. Kama mchangiaji mmoja alivyosema, ni mtu uliokuwa na matunda ndiyo unaorushiwa mawe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom