meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Imagine Lusinde ndio awe husband wako!!
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Ata imagine vp sasa wakati ndio Mumewe Mkuu...
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Yeye asubirie kuenguliwa na Samuel malecelaMbunge wa mtera amemchana mh spika Makinda na kumwambia kuwa kiti chake kinapwaya.
Lusinde ameshangazwa na kile kilichotokea bungeni pale mh Tundu Lisu alipogoma kutumia dakika tatu alizopewa na spika na badala yake akasema atatumia dakika kumi na makinda aliridhia.
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Hakuna fresh wala mtindi yule ni muhuni mwenzako hana hoja zaidi ya vijembe tuuLusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Imagine Lusinde ndio awe husband wako!!