Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Mkuu kuna binadamu wa baya sana, eti wanamfananisha Lupita na Bongo movie wale wa "come babe nimekumiss sana".Huyu m Mexico ananimaliza sana mapigo yake. Akifungua mdomo kuongea utajua kasoma Yale kweli, sio kapita tu shule.