Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,989
- 16,241
Fanya maarifa tukuchangie nauli.mkuu tuitafute hiyo lupatu,tuwanyooshe hawa vigagula!
Fanya maarifa tukuchangie nauli.mkuu tuitafute hiyo lupatu,tuwanyooshe hawa vigagula!
Jitu unayo hiyo LUPATU?....
Ninayo lupatu ya kuzuia mikeka kuchanika!Jitu unayo hiyo LUPATU?
sema nilisikia kumechafuka kule siku hizi.tungejikamua tufike.Fanya maarifa tukuchangie nauli.
Kuna mtu namtafuta sijapata namba zake kwao huko lkn anaishi Mtwara nikimpata ntamuomba aniketee ntamchangia nauli.sema nilisikia kumechafuka kule siku hizi.tungejikamua tufike.
Dah magaidi hawajavamia hayo maeneo?Mkuu mimi sio mganga wa kienyeji.
Mimi ni mchimbaji, na mpaka hapa ninapo andika niko zangu Mwatizi, wilaya ya Mwatizi, mkoa wa Tete ,Mocambique, bado naendelea na kulisaka jiwe.
aisee mkuu fanya jitihada umpate ukifanikiwa ludi hapa kama hutojali tujue tunafanyaje.ingekuwa vyema sana tungepata mwenyeji me nivushwe hata kwa njia za panya nikutane na mzee.Kuna mtu namtafuta sijapata namba zake kwao huko lkn anaishi Mtwara nikimpata ntamuomba aniketee ntamchangia nauli.
Kama mwakani tutakuwa wazima nina ratiba ya kutinga kwa babuaisee mkuu fanya jitihada umpate ukifanikiwa ludi hapa kama hutojali tujue tunafanyaje.ingekuwa vyema sana tungepata mwenyeji me nivushwe hata kwa njia za panya nikutane na mzee.
mkuu tusisahauliane kuenda huko, mwakani mwezi upi utaenda? ikiwa tutakuwa wazima ningependa tuungane mana watu tunapitia changamoto hadi shetani hapend.Kama mwakani tutakuwa wazima nina ratiba ya kutinga kwa babu
Mvua zikikata kwenye mwezi wa tanomkuu tusisahauliane kuenda huko, mwakani mwezi upi utaenda? ikiwa tutakuwa wazima ningependa tuungane mana watu tunapitia changamoto hadi shetani hapend.
tuombe kheri mkuu nadhan nami ntakuwa nimejipanga vyema. mkuu lakn umeshawah kuvuka huko? au unamtu mwenyeji yeyote pande hizo?Mvua zikikata kwenye mwezi wa tano
Kuna jamaa yupo huko anachimba dhahabutuombe kheri mkuu nadhan nami ntakuwa nimejipanga vyema. mkuu lakn umeshawah kuvuka huko? au unamtu mwenyeji yeyote pande hizo?
itakuwa vyema mkuu kma unamtu pande zile..bila kuchoka usisite kuludi kwenye uzi huu kupeana taalifa.. Na nitaendea kukushtua kulingana na mda utakavyozid kusonga..Kuna jamaa yupo huko anachimba dhahabu
Pamojaitakuwa vyema mkuu kma unamtu pande zile..bila kuchoka usisite kuludi kwenye uzi huu kupeana taalifa.. Na nitaendea kukushtua kulingana na mda utakavyozid kusonga..