kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Maji ya Zamzam na tende mbili inshallahSijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
Umeshiba kweli jamaniMaji ya Zamzam na tende mbili inshallah
Utapata tabu chooni shauri yako
Unafanya diet?Tango
Nimemaliza bahati mbayaMachalari hayoo nikuletee parachichi?
Hii nimekula hapa Bar wamejitahidi ina taste tamuMwachiluwi amepatia kupika kweli???
Tafsida hiyoUnafanya diet?
Matunda ya Parachichi, Nanasi, Magimbi + Viazi Vitamu + Samaki Sato wa Kukaanga +Maji na sasa napata Soda ya Kopo ya Fanta.Sijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
Ooh sawa...Umeshakuwa normal au Bado unajihisi vibayaHii nimekula hapa Bar wamejitahidi ina taste tamu
Mkuu bila mlainisho wowote?
Nilikula ili nishibe hapa niko fullOoh sawa...Umeshakuwa normal au Bado unajihisi vivibaya
Uwe na afya njema kiongoziNilikula ili nishibe hapa niko full