Lunch time.....@Triple B

Lunch time.....@Triple B

Aisee .... Nashukuru sana .... Hauna moja ambayo upo na maji ya kilimanjaro.... Huyu demu anaamin mi nna hela sanaaaa.... Kumbe mm bwana.... Mbahili sana .... Msos wa 3500 tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chek huyu mkuu daah we jamaa nakuheshmu .... Mtu yeyte akikuzngua humu jf nshtue ...
IMG_20180914_230607_901.jpg
 
nakujua vyema mkuu....wala usiwaze
Hahah huyo mdada nlkua namtania ... Tu na anajua ... Napenda kumtania ... Ila kuna mmoja kila siku nkawa naweka misos ya jamaa status ... Demu ... Akajua dah.... Maskin ... Nilimpikia matembele maskini
 
Back
Top Bottom